cuf na chadema adui yenu ni ccm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

cuf na chadema adui yenu ni ccm

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by masasi, Aug 9, 2010.

 1. m

  masasi Member

  #1
  Aug 9, 2010
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni vyama vyenye wafuasi wengi,viongozi wenye weledi mzuri,ni wakati wa wanachama na viongozi wa vyama hivyo kuachana na kujiundia upinzani vyenyewe bali viunganishe nguvu zao kuiondoa ccm madarakani,nia zikiwa moja kilichombali huja,tunataka mabadiliko na cuf na chadema kuungana sasa
   
Loading...