cuf na cdm nnawaomba muungane uchaguz 2015

Hili wazo la CHADEMA kuungana na CUF sidhani kama ina ubaya wowote kama lengo ni kuunganisha jitihada ktk mambo mengi si lazima iwe kwa uchaguzi tu. Lkn kubwa tunaloliona kwa sasa ni la uchaguzi. Na kama hilo litafanyika iwe kwa vyama vya upinzani vyote kumsimamisha mtu mmoja na kumpigania huyo mtu mpaka ushindi unapatikana.

Ukifanya mahesabu kwa ukaribu ukaangalia matokeo ya chaguzi nyingi mfano Igunga; Kama mfano: vyama vya upinzani wangekuwa wamemsimamisha mtu moja naamini ushindi pale ungepatikana. Lkn uwezo wa kuwafanya wote wakubaliane kufanya jambo mmoja kwa mazingira ya kibongo ya njaa njaa sidhani kama inawezekana.

Ninaloliona mimi kwa mwono wangu CHADEMA kama si kuunganisha nguvu na vyama vingine ndoto ya kuipiku CCM madarakani ni kama ile ya Kimweri na Majitu ya Vuga. CHADEMA itahitaji kutumia nguvu kubwa na bila kusahau uwezo wa kifedha na je huo wizi wa kura wa CCM wataukomeshaje?

Lengo ni kuwaongoza Watz ktk njia iliyonjema bila kujali mmepata ridhaa hiyo kwa kuungana. Sina nia ya kutokomeza upinzani Tz bali naona jitihada za kuiondoa CCM itachukua muda mrefu kidogo.

Hilo ni wazo la mpita njia tu.
 
Kuna ndoa ya wake wengi ila hakuna ndoa za waume wengi kamwe.
CUF ameolewa na CCM hwezi kuolewa tena na CDM.

Unajua CDM walikuwa wanajua kuwa ukiunganisha nguvu na KAF kuna uwezekano wa kuiangusha CCEM.
Lakini wapi, KAF wakajiona wazuri na kujitia kudengua. Wakahongwa uongozi na CCEM, kwanza Ubunge wa viti maalumu vya mwenyekiti wa CCEM kisha umakamu wa Urais kule kwenye ile nyumba ya bwana mdogo. Punde, wakaolewa. Walipoambiwa wameolewa pale Möven Peack walikuja juu mpaka kuharibu mazungumza katika baraza ile.

Na wakatae sasa kama ADSI si kifungua mimba wao na CCEM.

Wakae huko huko.

Kwani hawajui kuitunza ndoa? Wakija kwa CDM si wataitwa lile jima bay ..aya?
 
lengo ni kuingo'a ccm madarakan cuf mnaweza kuiona mfu lakin kuna maeneo inanguvu kuliko cdm.na iliswala la kuolewa ahhh ni propaganda za siasa.ni muungaano wa miaka 5 tu kuondoa system ya ccm halaf baaadae kila chaama kinaendelea kivyake
 
cuf hawaaminiki, unakumbuka prof. alisema nini siku chache kabla ya uchaguzi mkuu alipokuwa live luningani 2010? eti "mimi ukinilinganisha na dr.slaa bac mie ni mlima na dr.slaa ni kichuguu". it was amazing coz lengo la wapinzani ni kupambana na chama dola ili kukitoa madarakani sasa inakuwaje una atack wapinzani wenzako? kiufupi cuf hawana mpango wa kuingia ikulu kwa huku bara zaidi ni prof kugombea kila mwaka apate ruzuku.alipohojiwa kwanini anashambulia upinzani wakati naye ni mpinzani akabwata EBHOOOO mi ndo nimeamua kujilinganisha hivyo we unataka nini? jaman prof wetu wa uchumi duniani huyo,tehe tehe tehe,napenda chama chenye nia ya dhati kuingia ikulu sio bla bla tena katika nchi yenye wachumi wenye maneno mengi kuliko vitendo.jamani msinifanye nijute kuwa mtanzania
 
Kwanini isiwe Slaa amsupport Lipumba .
 
Back
Top Bottom