Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,857
- 7,619
Vp CCM A watakuwepo?
Wametoa kavereji TBCCM
Vp CCM A watakuwepo?
Wao hawapigwi mabomu, mbona wanaandamana??mkutano mkubwa wa hadhara wa chama cha wananchi cuf unatarajiwa kufunika leo katika viwanja vya jagwani aka chadema square, maandamano ya magari, pikipiki, bajaj na baiskeli ndo yanaelekea eneo la tukio. kwa hapa kariokoo naona malori yakiwa yamebeba wafuasi na wapenzi wa cuf wakieleke cdm square.
aisee umeandika kwa huruma kwelikweli ila sijaelewa M4C imeingiaje humu.Unatumia kigezo gani when you term someone's post "kilazaful post". Mbona maelezo yake yanajitosheleza..au angeandika m4c ndio ungeelewa. Kasema kampeni mchakamchaka itakayozinduliwa na CUF,bado unauliza itamhusu nani!! Relax mkuu, usitegemee kuona post unazozipenda tu.!
Hapa chama tawala linataka kutake advantage kwa kutumia CUF, kinachofanywa hapa ni kuongeza joto na kuwachanganya zaidi wananchi ili mwisho wa siku mafisadi waendelee kula bata kwa mrija huku wananchi wakiambulia tone moja moja kutoka rasilimali za nchi.
Nimepita maeneo ya Jagwani nikafikiri ni muhadhara!!! Asante mkuu kwa ufafanuzi
Nimepita maeneo ya Jagwani nikafikiri ni muhadhara!!! Asante mkuu kwa ufafanuzi
Nimepita mida hii jagwani naona watu wanaminika najiuliza CUF wanatoa wapi hawa watu wakati Prof Lipumba alipata kula laki 6 Tanzania nzima.
Nimepita mida hii jagwani naona watu wanaminika najiuliza CUF wanatoa wapi hawa watu wakati Prof Lipumba alipata kula laki 6 Tanzania nzima.