CUF kupeleka katiba kwa maandamano

Kwa hiyo EL alivyopakua sawa tu siyo, Liyumba sawa na hata bilal sawa tu...kazi kwelikweli

Ndio maana mapambano yenu cdm yenye malengo ya kibaguzi hayatafika mbali..ni illusion tu.

Back to topic faida za katiba mpya vs katiba iliyopo...
Hujanielewa kwangu wote hao ni wetu tu lakini huwezi kulinganisha na mwizi m Iran RA kwa hilo sijifichi hata uniite mbaguzi sawa wewe nenda kagombee ubunge Iran au India kama hautatemewa mate usoni.
 
Topical.....aka martyrdom .... bora urudi kule kule Kandahar... ukamsaidie Dr. Al Zawahiri kuhubiri hate and brutality..... ur very blatant and militant

i stand for this..... and dont deny your attitude towards the acts of martyrdom..... i mean your ideology is the same as that of Dr. Al Zawahiri..... hopefully you have been brainwashed like those people like Mohamed Attar ..... ur the best cowards and full time enemies of God
 
Haisaidii kusema yasiyoni husu..

I stand for peacefull movement, siyo maandamano as if nchi hii hakuna viongozi.
Hujui unaloongea which is peacefull movement and which is not, unaelewa nini kuhusu maandamano mbona wewe ulisema utaandamana kudai maji, which is which then or talk for the sake of talking.
 
Hujanielewa kwangu wote hao ni wetu tu lakini huwezi kulinganisha na mwizi m Iran RA kwa hilo sijifichi hata uniite mbaguzi sawa wewe nenda kagombee ubunge Iran au India kama hautatemewa mate usoni.

Sawa kama wewe ni mbaguzi umechagua kujiumiza, watanzania wengi tuko beyond hapo..na kwa taarifa hizo element za ubaguzi tutazifuta kwa vitendo..next waziri wa fedha atakuwa mtanzania mwenye asili ya india...mfano shivji hivi

Mtanzania ni mtanzania period, uzalendo ni kufanya kila mtu ajiamini asitoe upendeleo na uwizi kama waliofanya kina Ngeleja na Mhando hapo tanesco period!
 
Haisaidii kusema yasiyoni husu..

I stand for peacefull movement, siyo maandamano as if nchi hii hakuna viongozi.

mohamed atta...summary biography ...Mohamed Mohamed el-Amir Awad el-Sayed Atta (Arabic: محمد محمد الأمير عوض السيد عطا‎, Muḥammad Muḥammad al-Āmir ‘Awaḍ as-Sayyid ‘Aṭṭa) (September 1, 1968 – September 11, 2001) was one of the masterminds and the ringleader of the September 11 attacks who served as the hijacker-pilot of American Airlines Flight 11, crashing the plane into the North Tower of the World Trade Center as part of the coordinated attacks.http://en.wikipedia.org/wiki/Mohamed_Atta#cite_note-laughing-0.

topical .... don't deny or pretend to denounce your identity... we know you guys of the same attitude
 
Hujui unaloongea which is peacefull movement and which is not, unaelewa nini kuhusu maandamano mbona wewe ulisema utaandamana kudai maji, which is which then or talk for the sake of talking.

Kama yatakuwa yamefuata utaratibu wote wa kisheria...ndio ntaandamana, kama hakuna nilisema sitii mguu.
 
Sawa kama wewe ni mbaguzi umechagua kujiumiza, watanzania wengi tuko beyond hapo..na kwa taarifa hizo element za ubaguzi tutazifuta kwa vitendo..next waziri wa fedha atakuwa mtanzania mwenye asili ya india...mfano shivji hivi

Mtanzania ni mtanzania period, uzalendo ni kufanya kila mtu ajiamini asitoe upendeleo na uwizi kama waliofanya kina Ngeleja na Mhando hapo tanesco period!
Hata Shivji akiwa mwizi hatufai, wavamizi wezi wanajulikana huwezi kumlinganisha Shivji na Rostam kila baya yeye yumo nyambaf zake na wanaomsupport kwa hilo huwa sichengichengi.
 
Kama yatakuwa yamefuata utaratibu wote wa kisheria...ndio ntaandamana, kama hakuna nilisema sitii mguu.
Kwa hiyo unapinga tu for the sake ya kupinga uonekane umepinga au uongeze post.
 
Hata Shivji akiwa mwizi hatufai, wavamizi wezi wanajulikana huwezi kumlinganisha Shivji na Rostam kila baya yeye yumo nyambaf zake na wanaomsupport kwa hilo huwa sichengichengi.
Mwizi ni mwizi hata kama ni mdogo wako ..hapo tuko pamoja

RA ni mwizi hafai hata kidogo..mpe haki yake ya ku-prove kwamba kaiba au kapewa dili la kazi

Mwizi no.1 ni wafanyakazi wa tanesco akiwemo waziri ni mtazamo wangu tu

Any turudi kwenye topic ya katiba...we already out of topic.
 
Kwa hiyo unapinga tu for the sake ya kupinga uonekane umepinga au uongeze post.

Sijakusoma una maana gani?

Mbona niko clear kero kubwa kwangu ni maji umeme cha mtoto

nitaandamana ikiwa taratibu zote zikifuatwa siyo bila kibali..sitii mguu

Mbona unakazinia maandamano au kwenda kuwaelezea oh tumeibiwa and other nonsense...maana issue ya umeme ina miaka mingi tu

Why too much noise today kama vile watu watakufa wote kwa mgao..ambao ulianza enzi na enzi tangu nyerere nimekwambia sie watu taa za chemli...

I hope mnatafuta platform za kukataa kushindwa
 
Mwizi ni mwizi hata kama ni mdogo wako ..hapo tuko pamoja

RA ni mwizi hafai hata kidogo..mpe haki yake ya ku-prove kwamba kaiba au kapewa dili la kazi

Mwizi no.1 ni wafanyakazi wa tanesco akiwemo waziri ni mtazamo wangu tu

Any turudi kwenye topic ya katiba...we already out of topic.
We are not out of the topic ndiyo haya haya tunayozungumza hapa ya watu kujichukulia uraia bila kufuata sheria yamo kwenye katiba mbovu,watu kuwa na mikataba mibovu yamo kwenye katiba mbovu.

Nimeanza kugundua uwezo wako wa kufikiri.

Tatizo lako na wengi mnafikiri katiba ni maandiko ya vitu special sana ambavyo hatuvijui au havituzunguki ndio maana hamuoni tatizo la kuwa na katiba mpya.
 
Sijakusoma una maana gani?

Mbona niko clear kero kubwa kwangu ni maji umeme cha mtoto

nitaandamana ikiwa taratibu zote zikifuatwa siyo bila kibali..sitii mguu
Nonsense kwa vile tatizo lako ni maji wengine wakiwa na tatizo la umeme au katiba wasiandamane.
 
We are not out of the topic ndiyo haya haya tunayozungumza hapa ya watu kujichukulia uraia bila kufuata sheria yamo kwenye katiba mbovu,watu kuwa na mikataba mibovu yamo kwenye katiba mbovu.

Nimeanza kugundua uwezo wako wa kufikiri.

Tatizo lako na wengi mnafikiri katiba ni maandiko ya vitu special sana ambavyo hatuvijui au havituzunguki ndio maana hamuoni tatizo la kuwa na katiba mpya.

mkuu.... hii ngoma ni extremist and fundamentalist...... potezea hivyo hivyo.... inataka kutu brain wash kama wanaojitoa muhamga.... hajui watanzania ni makini tena usipime hapa JF hakuna type yake....
 
Ndugu vitu ulivyovitaja viko kwenye sheria wala si sheria mbovu sheria safi tu

Katiba ndio itumike kuandikia mikataba..no

Mikataba ya kibiashara ni case by case, kati ya mwenye mali na mnunuzi

Kama hujui ku-negotiate vizuri hata kuwe na katiba mpya kesho

Keshokutwa tunaibiwa na watu wetu period..sisi ndio tatizo sio wanunuzi.
 
Kama hujui kuhusisha katiba-sheria-mikataba sina msaada zaidi.
 
mkuu.... hii ngoma ni extremist and fundamentalist...... potezea hivyo hivyo.... inataka kutu brain wash kama wanaojitoa muhamga.... hajui watanzania ni makini tena usipime hapa JF hakuna type yake....
Mkuu najua sana lengo lake ndiyo maana mimi nimemkomalia hawezi pata kitu atachoka mwenyewe Quinine is here to stay day and night na majibu nimeset automatic special kwake akija MS nina set yake.
 
Sawa kama huna msaada maana hujui...

Kwa hiyo unafuata fashion tu kudai katiba mpya.
Kwani wewe wamekuambia uje na fasheni gani ya kupinga katiba mpya, utaweza? if you can't fight join 'em, simple is what Mkapa, Jaji Mkuu, and other prominet CCM members has decided to follow.
 
ha haa..... amekimbia au?..... hana issue ..... hawa ni hired gossipers who can not achieve what they deserve..... sielewi hivi mtu kama topical ana ineterest gani... nimechoka kabisa
 
Mkuu najua sana lengo lake ndiyo maana mimi nimemkomalia hawezi pata kitu atachoka mwenyewe Quinine is here to stay day and night na majibu nimeset automatic special kwake akija MS nina set yake.

Mkuu najua sana lengo lako wewe die hard cdm, christian fundementalist nimest tu..nyie ndio mnafurahisha..hivi unafikiri kwa kusema hayo utanitisha long time tumeshavuka hayo matisho..tuko mbali sana hapo...huo tunauita umbeya wa kawaida mitaani na huko kwenu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom