CUF kupeleka katiba kwa maandamano

Mkuu,

Pesa si sababu kabisa katika hili. Hebu tupe makisio ya fedha zinazohitajika kuandaa katiba mpya. Na break down yake
,
Ikiwa serikali inauwezo wa kununua magari mepya kila leo, kuilipa dowans, kutoa misaaha ya kodi kiholela,kulipa mishahara,posho na viinua mgongo vikubwa kwa wabunge, fedha ya EPA. Kukubali asilimia 3 kwenye madini.

Hela haiwezi kuwa kisingizio hata kidogo.
Hata hivyo,ikiwa ni kweli serikani haina,wananchi wako tayari kuchangia katika hili.

Ukweli utabaki ni kuwa serikali, na hapa unazungumzia CCM hawaoni tija,haja ya katiba mpya kwa sababu hii iliyopo inawanufaisha wao kubaki madarakani.

Nimekuomba iniorodheshee faida na mapungufu ya hii katiba inayotumika sasa.

Na hapo nilipopigia msitari unamaanisha nini?

Jee unaelewa kuwa madai,kilio cha katiba mpya kina zaidi ya miaka 15 sasa?

Fedha hata kama ni kidogo, kuna haja ya kutumia vibaya?

Hiyo katiba mpya mnayoidai itatusaidia nini? hasa vile vipengele nilivyovitaja hapo juu

Ukinitajia katiba mpya inatusaidia nini? labda nitafikiria kuangalia hata hayo mapungufu yaliyopo kwenye katiba ya sasa

Mtazamo wangu ni kuwa ni fashion tu siasa za fashion ..ikishapita hii fashion ya kudai katiba

Mtaimbishiwa wimbo mwingine poleni...
 
Huna lolote wewe nimeshakuona ni kapuku tu debe tupu hata waliokutuma huwasaidii kitu.
 
Huna lolote ni mlamba makombo ya waarabu tu wewe mnanyang'anyana mifupa ya kina RA kama m..............a.

Yamekuwa hayo mkuu, kweli uhuru una raha zake mwisho wako wa kufikiri ni kuporomosha...pole

Hata mimi najua huna lolote ni mlamba makombo ya wachagga tu wewe mnanyang'anyana mifupa na kina mbowe ....
 
Mkuu,

Hivi wewe ni kundi lipi?

Hili?... sasa ninakuelewa kwa hoja zako!!
Karibu shamba la bibi. vuna utakacho,upendacho.
Usisahau kuwapelekea na huko vijijini, Mkuu!!

Kundi la watanzania wapiga kura wanaoamini katika uhuru, kushindana kwa hoja, na kukubali kushindwa.

Tunavuna kikatiba tu wala hatuna wasix2
 
Niliwahi kusema katika thread mojawapo kuwa "UKIFIKA MAHALA UNASUSIA MAMBO MUHIMU YANAYOGUSA MUSTAKABALI WA NCHI HATA YALE YASIO NA UHUSIANO NA SIASA KAMA SHEREHE ZA UHURU BASI UNAKARIBISHA JAMII NA HASA VYOMBO VYA UTAWALA KUWA NA NEGATIVE ATTITUDE AGAINST YOU". HIVYO CHADEMA WASITARAJIE MTEREMKO KATIKA MAMBO YAO. KUNA CHUKI WALIYOITENGENEZA NA MATUNDA YAKE NDIO HAYO. PIA HUWEZI KWENDA KINYUME NA TARATIBU NA SHERIA ZILIZOWEKWA HALAFU UKASUBIRI PUBLIC SYMPATHY. SOMETIMES IF YOU CAN'T FIGHT 'EM THEN JOIN 'EM.
CUF WANAFUATA TARATIBU NA SHERIA LAKINI PIA WAMEPATA KIBALI KWA WATAWALA KWANI WATAWALA WAMEJIFUNZA SIASA ZA KIISTAARABU KUTOKA CUF. HISTORIA IKO WAZI. HATA MBIU YA CUF YA HAKIIIIIIIIIIIIIIIIII. ASIYETAKA HAKIII??????????/ AELIMISHWE. HII NI KAULI MBIU YA KIISTAARABU ZAIDI KULIKO ILI YA PEOPLES??????????????? POWER!!!!!!!!!! AMBAYO IMEKAA KISHARISHARI.
BINAFSI NAAMINI KATIKA SIASA ZIPO MBINU NYINGI ZA KUFIKIA MALENGO LAKINI PIA TUNAHITAJI VIONGOZI WENYE UONI MPANA KATIKA KUYAENDEA MAMBO.
CUF WALIANZISHA MJADALA WA KATIBA MPYA NA WAKAANDAA RASIMU YA KATIBA HIYO. SIJAONA CHAMA KINGINE KILICHOANDAA RASIMU HIYO ZAIDI YA KELELE ZA MTAANI ZISIZOKUWA NA NATIJA KUBWA.
TUUNGANE KATIKA MAMBO YA MSINGI NA TUWE WASHIRIKI NA SIO WASHABIKI.

Hivi PEOPLES POWER na JINO KWA JINO ipi imekaa kishari?
 
Yamekuwa hayo mkuu, kweli uhuru una raha zake mwisho wako wa kufikiri ni kuporomosha...pole

Hata mimi najua huna lolote ni mlamba makombo ya wachagga tu wewe mnanyang'anyana mifupa na kina mbowe ....
RA atakapoishiwa mifupa na kuhamia IRAN kwao sijui utamfuata.
 
Hawa vilaza tu nao utashangaa wameshapewa ruksa ya maandamano hapo, sasa kwani mchalato wa katiba umeshaanza mpaka wapele kwa Waziri? Na waziri naye atapokea hayo maandamano? Mi nawaambieni wakati watu wengi wanaona katiba mpya ni suluhisho ya mengi lakini CCM na CUF wao wanakubali mchalato kwani wanataka kuweka maslahi yao humo ndani ya katiba na hasa swala la kutotambuliwa serikali ya muafaka ya Zanzibar na ankol wao Seif
Hivi CUF toka wameanza kuandamana miaka yote wamefanikisha lipi? Kama ni muafaka lilikuwa suala la CCM kuwaibia ushindi kilaini tuu wala sio kuwa walipigania sana. Moto wa Katiba mpya umekuja juu sasa na kila mtu anajua sababu yake. Hakuna mtu anaweza ku-hijack haya mambo.
 
Mimi ni kinyonga nikikutana na mpuuzi najibu kipuuzi dawa chizi ni kujifanya na wewe chizi.

upuuzi ni subjective...

maandamano ni uchizi fulani

Anyway hata machizi hupenda kuwaambia wenye akili zao chizi..sishangai, besides ndio raha ya uhuru wa keyboard.
 
Hivi CUF toka wameanza kuandamana miaka yote wamefanikisha lipi? Kama ni muafaka lilikuwa suala la CCM kuwaibia ushindi kilaini tuu wala sio kuwa walipigania sana. Moto wa Katiba mpya umekuja juu sasa na kila mtu anajua sababu yake. Hakuna mtu anaweza ku-hijack haya mambo.

Ni fashion ambayo cdm imeanza kuiga kwa kasi sana...
 
RA atakapoishiwa mifupa na kuhamia IRAN kwao sijui utamfuata.

You can be better than this argument,

Die hard cdm wanaamini katika kulazimisha na kupakana matope

Mfano nikisema Slaa atakapoishiwa na kuhamia vatican city sijui utamfuata.
 
You can be better than this argument,

Die hard cdm wanaamini katika kulazimisha na kupakana matope

Mfano nikisema Slaa atakapoishiwa na kuhamia vatican city sijui utamfuata.
Slaa ni mtanzania haendi popote si kuwadi wako m Iran RA anayetaka tumlipe Bil. 185 aondoke, shame on him and his suppoters like you.
 
You can be better than this argument,

Die hard cdm wanaamini katika kulazimisha na kupakana matope

Mfano nikisema Slaa atakapoishiwa na kuhamia vatican city sijui utamfuata.

Topical.....aka martyrdom .... bora urudi kule kule Kandahar... ukamsaidie Dr. Al Zawahiri kuhubiri hate and brutality..... ur very blatant and militant
 
RA ni Mtanzania mzaliwa wa Tabora haendi kokote watch ubaguzi wa rangi utakuumiza bure

Tanzania wengi wetu tuko beyond those colour/race issue

Wafanyakazi wa Tanesco weusi kama mkaa, wasomi wa udsm ndio wameingia dili chafu kwa kalamu zao na vyeo vyao bila kulazimishwa

Kama mzalendo kweli ondoa ngeleja, mhando etc...
 
Ingawa napinga dili lolote baya lakini ni heri kuliwa na mweusi na kujenga Hotel Ngorongoro naweza kuomba hata kazi ya kufagia kuliko kumpa m Iran na kuwekeza kwao.
 
Ingawa napinga dili lolote baya lakini ni heri kuliwa na mweusi na kujenga Hotel Ngorongoro naweza kuomba hata kazi ya kufagia kuliko kumpa m Iran na kuwekeza kwao.

Kwa hiyo EL alivyopakua sawa tu siyo, Liyumba sawa na hata bilal sawa tu...kazi kwelikweli

Ndio maana mapambano yenu cdm yenye malengo ya kibaguzi hayatafika mbali..ni illusion tu.

Back to topic faida za katiba mpya vs katiba iliyopo...
 
Hapa CUF wamefanya jambo moja la maana sana na huu ni mwanzo kama nilivyowahi kusema kuwa .la leo lifanywe leo ,pasisubiriwe kitu ,yale mambo ya mikakati hayana nafasi huo ni mwendo mzuri kabisa na natumai wengine msibaki na style ya kupiga makelele ,si lazima mjumuike au muwepo katika kundi moja na CUF ,hapana ningependa kila kona kunachomoza kundi jingine ,kijeshi huwa tunaitaga ambush ,ni lazima kwa hali yeyote ile katika hili yatokeze makundi kila pembe ya Taifa hili la Tanzania kudai katiba mpya.

Let us say Chadema wanashambulia upande wake ,TLP nae anazuka huko NCCR nao wanajitokeza kivyao vyao na taasisi zingine nazo zinachomekea,kwa aina hii watawala hawataweza kupiga stop,haitowezekana na itawawia vigumu kabisa kuliko kusema watu wote wanajiunga pamoja ,aloo guruneti moja tu la CCM litatumaliza sote.

Na kwa vile tunakwenda kwa style ya ambush haya mambo yasiwe hapa Dar tu yawepo mikoa yote ,yaani hata wa huko wao waseme tunawaunga wenzetu wa Dar na kama mnavyoujua moto wa nyasi lazima watawala watafahamu kuwa maembe ni matunda.

Kaka umesahau kitu kimoja simple sana "Umoja ni Nguvu, utengano ni udhaifu" Think ctrically, na nadhani hilo ndilo CCM wanalitaka hilo sana
 
Topical.....aka martyrdom .... bora urudi kule kule Kandahar... ukamsaidie Dr. Al Zawahiri kuhubiri hate and brutality..... ur very blatant and militant

Haisaidii kusema yasiyoni husu..

I stand for peacefull movement, siyo maandamano as if nchi hii hakuna viongozi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom