singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Sharifu hamadi ameponza na Ukawa, halafu wamemtosa wamemuacha peke yake wakati wao wakiendelea na mambo yao, Hakujua kuwa nia ya Chadema ilikuwa ni kuongeza ruzuku tu na wala sio kushinda urais. Ni bora aachanew na siasa astaafu kwa heshima kuliko kuendelea kutoa matamko kila siku yasiyokuwa na meno huku wananchi wakiendelwea kumpuuza.