Nashindwa kuelewa chama cha cuf kina matatizo gani? Kwa nini wafuasi wake wengi ni kundi la watu mbumbu wasio na uwezo wa kufikiri wala kutafakari na watu wasio nakazi wakaa vijiweni kama huamini nenda manzese darajani kuna tawi pale kika na kuwasikiliza utasema CUF ni chama chenye nguvu kumbe ni chama kinachosubiri siku zifike kifutike?
Mfumo Kristo unamaanisha nini?, usituletee story za kwenye mihadhara mnayofanya manzese. km mlishindwa kuchakalika na maisha mkaishia vijiweni huo ni ujinga wenu. Tuacheni na imani yetu, huwa tunawasikia sana kwenye mihadhara yenu, ila tunawapotezea tu coz tunajua ukristo haujawahi kushindwa, haujashindwa wala hautakuja kushindwa kwa sababu tu ya mihadhara ya kipuuzi ya watu wenye upungufu wa mawazo. Km unaongea siasa ongea siasa, ila usiguse imani za watu. hili ni jukwaa la siasa.Kuna watu humu ndani wanatafta mabwana wa kuwaoa.ivi unaposema waswahili na wanywa kahawa vijiweni unamaana gani hasa.naona kuna ajenda unaificha af unadhan kila mtu ana tope kichwan km wewe..kwa iyo cdm ndo ya wasomi? Any wy kw ufupi hao waliopo vijiweni wakinywa kahawa wasio na elimu ni matokeo ya mfumo kristo uliotengenezwa kwa mda mrefu ambao cdm wanapambana kuuendeleza kwa uwazi zaidi apa tz.naapa hautafanikiwa.
mwambie huyo punguwani,nahisi amevimbewa mbege.dah, bonge la bias ktk research yako. nenda arusha mitaa ya unga limited utawakuta wavuta bangi ndo wanazi wakubwa wa CDM yako. nenda moshi kwenye vilabu vya mbege, nenda milembe hospital afu uje na hizo outcomes zako kama hujachekwa humu.
HV TLP bado ipo? du bora CUF jamani kuliko TLP!Nashindwa kuelewa chama cha cuf kina matatizo gani? Kwa nini wafuasi wake wengi ni kundi la watu mbumbu wasio na uwezo wa kufikiri wala kutafakari na watu wasio nakazi wakaa vijiweni kama huamini nenda manzese darajani kuna tawi pale kika na kuwasikiliza utasema CUF ni chama chenye nguvu kumbe ni chama kinachosubiri siku zifike kifutike?
hii thread itafungwa muda si mrefu.mfumo kristo unamaanisha nini?, usituletee story za kwenye mihadhara mnayofanya manzese. Km mlishindwa kuchakalika na maisha mkaishia vijiweni huo ni ujinga wenu. Tuacheni na imani yetu, huwa tunawasikia sana kwenye mihadhara yenu, ila tunawapotezea tu coz tunajua ukristo haujawahi kushindwa, haujashindwa wala hautakuja kushindwa kwa sababu tu ya mihadhara ya kipuuzi ya watu wenye upungufu wa mawazo. Km unaongea siasa ongea siasa, ila usiguse imani za watu. Hili ni jukwaa la siasa.
Nenda pia kariakoo utakuta wazee wamekaa tangu saa 1 asubuhi wanakunywa kahawa mpaka jioni hata sijui kazi wanafanya saa ngapi, tawi lipo pale zinapo park daladala za k/koo Mbezi au Mwenge
sasa udini umetokea wapi tena ndugu yangu?Pelekeni udini wenu huko ndivyo mlivyfundishwa huko kwenye jumuia?
Ok unsema ni matokeo ya mfumo wa kikristo, kwani kikwete hajauona?Kuna watu humu ndani wanatafta mabwana wa kuwaoa.ivi unaposema waswahili na wanywa kahawa vijiweni unamaana gani hasa.naona kuna ajenda unaificha af unadhan kila mtu ana tope kichwan km wewe..kwa iyo cdm ndo ya wasomi? Any wy kw ufupi hao waliopo vijiweni wakinywa kahawa wasio na elimu ni matokeo ya mfumo kristo uliotengenezwa kwa mda mrefu ambao cdm wanapambana kuuendeleza kwa uwazi zaidi apa tz.naapa hautafanikiwa.
Nashindwa kuelewa chama cha cuf kina matatizo gani? Kwa nini wafuasi wake wengi ni kundi la watu mbumbu wasio na uwezo wa kufikiri wala kutafakari na watu wasio nakazi wakaa vijiweni kama huamini nenda manzese darajani kuna tawi pale kika na kuwasikiliza utasema CUF ni chama chenye nguvu kumbe ni chama kinachosubiri siku zifike kifutike?
Huu sasa ndio ule ubaguzi tunaoukataa, ok wewe chama chako ni cha wasomi je kwa kula za wasomi pekee au wafanya kazi ndizo zitawaletea ushindi. Kama hawajaja kukuomba chakula kinakuuma nini wao kuwa washabikia cuf?