Kusinboy
Senior Member
- Aug 19, 2016
- 176
- 124
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Siyo kufukzwa tu huyu apigwe na kitu chenye ncha Kali hatupendi ujinga wake
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Siyo kufukzwa tu huyu apigwe na kitu chenye ncha Kali hatupendi ujinga wake
CUF kilwa wanawaza hela tuViongozi wa Cuf Kilwa pamajo na Mbunge wa Kilwa Wameunga mkono Prof Lipumba Kufukuzwa nakusema kamati tendaji ilikuwa sahihi kumfukuza na Prof Lipumba amekuja kuleta furugu kwenye chama
Wameendelea kusema Kilwa Cuf hawatashirikiana na Prof. Lipumba kwani si Mwenyekiti halali wa chama hicho pia wamepinga sana prof. Lipumba kufungua Account mpya ya chama kwa kusema hausiki na kitu chochote cha chama na nikinyume na katiba ya cham cha Cuf
Unacopy na kupaste tu.....Nafikiri ID yangu inamajibu yakujitosheleza mimi ni nani na kazi yangu hairuhusu wongo huo mnaofanyaga
Acha utoto.Siyo kufukzwa tu huyu apigwe na kitu chenye ncha Kali hatupendi ujinga wake
Ni sawa na mzee wangu Edo alivyoushinda mtihani kisha kukubaliwa na waliomkataa.Tz yote yawezekana hata Lee Pumba kushinda kesi sitashangaa.Hivi CUF Wakiushinda Huu Mtihani,Wale Wanauochochea Mkwamo Huu Watazificha Wapi Nyuso Zao?
Na Njia Ikifeli,Ni Njia Ipi Nyingine Mpya Ya Kuwavuruga Itakuwa na Madhara Tena Kwao!?
What Doesnt Kill You,Makes You Stronger!
CUF Endeleeni Kukomaa Ili Muendelee Kuleta Siasa za Ushindani kwa CCM!
Hii Itawafanya CCM Waazimie Kudeliver Maendeleo kwa Hofu ya Kupokwa Tonge Mdomoni!CUF Wakifa,CCM Watabweteka!
We jamaa unachekesha kweli....kuna watu walikuwa wanamsema Lowasa kuwa ni fisadi.....lakini sasa hivi hawafichi nyuso zao bali wanatembea kifua mbele kusema Lowassa si fisadi na anayesema ni fisadi basi aende mahakamani.Hivi CUF Wakiushinda Huu Mtihani,Wale Wanauochochea Mkwamo Huu Watazificha Wapi Nyuso Zao?
Na Njia Ikifeli,Ni Njia Ipi Nyingine Mpya Ya Kuwavuruga Itakuwa na Madhara Tena Kwao!?
What Doesnt Kill You,Makes You Stronger!
CUF Endeleeni Kukomaa Ili Muendelee Kuleta Siasa za Ushindani kwa CCM!
Hii Itawafanya CCM Waazimie Kudeliver Maendeleo kwa Hofu ya Kupokwa Tonge Mdomoni!CUF Wakifa,CCM Watabweteka!
Anatunga misamiati isiyo na kichwa wala miguu.Siasa siyo kipaji chako, kila unalotabiri linashindwa vibaya.
Ulitabiri fisadi Lowasa atakuwa rais aibu uliyoipata ni rekodi ya dunia.
Hii si hoja ya kisayansi."Waleta" matokeo toka maeneo hayo una hakika mpaka leo hawajadhibiwa kwenye zile tenguzi na teuzi zilizofanyika?
Hoja ya kisayansi huwa inakuwaje?Hii si hoja ya kisayansi.
kazi kweli kweliVuvuzela anajibiwa kivuvuzela tu maana nawewe unaruka ruka kama maharage yaliyokata kuiva