CUF KILWA: Yabariki Prof Lipumba Kufukuzwa

CUF KILWA: Yabariki Prof Lipumba Kufukuzwa

Sio kilwa tu mimi mwanachama wa cuf RUANGWA lipumba hafai hafai kabisa
 
Siasa siyo kipaji chako, kila unalotabiri linashindwa vibaya.

Ulitabiri fisadi Lowasa atakuwa rais aibu uliyoipata ni rekodi ya dunia.
Atakuwaje Rais wakati matokeo yalitangazwa kwa kadri yalivyoletwa?
 
Atakuwaje Rais wakati matokeo yalitangazwa kwa kadri yalivyoletwa?
Mbona Arusha, Pemba na Moshi matokeo yalitangazwa kama yalivyoletwa pia?

Acheni visingizio? Ukweli ni kwamba watanzania wanaipenda nchi yao hawawezi kukabidhi fisadi.
 
Umejitungia?au

Yawezekana amejitungia,hebu "m-prove wrong" kwa kuuleta ukweli unaoufahamu toka huko Kilwa.Siyo Kilwa tu,hata mimi mwanachama wa kawaida siuungi mkono uhuni unaofanywa na profesa lipumba-vu,nikiukumbuka muda nilioutumia kuiunga mkono CUF na haya yanayotokea sasa chini ya mtu anayejiita msomi wa ngazi ya profesa,inanifanya nisione thamani ya wasomi wa Taifa hili.

Haiwezekani msomi wa kiwango cha profesa "ajigeuze msukule" na kujifungia ndani ya ofisi ya chama ili atimize matakwa ya waliomtuma.
 
Viongozi wa Cuf Kilwa pamajo na Mbunge wa Kilwa Wameunga mkono Prof Lipumba Kufukuzwa nakusema kamati tendaji ilikuwa sahihi kumfukuza na Prof Lipumba amekuja kuleta furugu kwenye chama

Wameendelea kusema Kilwa Cuf hawatashirikiana na Prof. Lipumba kwani si Mwenyekiti halali wa chama hicho pia wamepinga sana prof. Lipumba kufungua Account mpya ya chama kwa kusema hausiki na kitu chochote cha chama na nikinyume na katiba ya cham cha Cuf
Tatizo lipumba ana ruzuku na anatambuliwa na msajili
Mtapiga kelele weee,lipumba mwenyekiti,na huyo mbunge akifanya mchezo jina lake litakatwa 2020, atatafutwa mwanachama mwingine
 
Mbona Arusha, Pemba na Moshi matokeo yalitangazwa kama yalivyoletwa pia?

Acheni visingizio? Ukweli ni kwamba watanzania wanaipenda nchi yao hawawezi kukabidhi fisadi.
"Waleta" matokeo toka maeneo hayo una hakika mpaka leo hawajadhibiwa kwenye zile tenguzi na teuzi zilizofanyika?
 
"Waleta" matokeo toka maeneo hayo una hakika mpaka leo hawajadhibiwa kwenye zile tenguzi na teuzi zilizofanyika?
Kwa hiyo Lowasa alikuwa anasema uongo kutuambia tupige kura tukalale ,kura zake atalinda mwenyewe?
 
Njaa ndio zinamsumbua, kwan alilazimishwa kutangaza kujiudhuru? alitishia kujamb.... uku kumbe anaharis......! kwel shule haijamkomboa, akajiunge cc. tu uku atuachie chama chetu, mbaya zaid haoni hata aibu kubadili maamuz yake
 
Halafu ndio anajiita prof! apo kwel kazi ipo ndan ya chama chetu, maamuz ya namna iyo yanafanywa na mtu ambaye hana shule kabisa
 
Anafungua acount nyingine ya nn? au ndio yakupatia pesa ya kula?
 
Siasa bana, Prof. Lipumba mwaka jana kabla ya uchaguzi mkuu alichezea virungu vya kutosha pande za Mbagala kwa maagizo ya ccm kupitia policcm. Eti leo hao hao wanamlinda na escort za kutosha kwenda kufungua account bank.
 
Hivi ni kweli lipumba atashindwa mbona anazidi kuchanja mbuga ,mi inanishtua sana
 
Lpumba ndio mwenyekiti. Nyie endeleen kupga pambio
 
Wenye ukurutu wa fikra watakuja kutafuta wa kuwakuna!!

Hadhi ya JF inatokana na kuwa na watu Wenye Mtazamo na Mapenzi yanayotofautiana!

Ilianzishwa Mwan.ahalisi forums ili kuwa na Wenye Mawazo ya Chadema Peke yake na baadhi ya Members Maarufu humu wakaipromote sana lakini haiku pats Kick kwa kuwa watu wanahitaji Mawazo Mchanganyiko hivyo punguza kashfa na kejeli

Kabla ya June 2015 ungeambiwa Uchaguzi Mkuu 2015 Dr. Slaa ataikampenia CCM ungetukana pia au ungeambiwa Lowassa ndie angekuwa Mgombea Chadema na Kingunge angezunguka nae Mikoani pamoja na hasimu wake wa Siku nyingi Sumaye ungeona Kama Igizo tu. Ya Seif na Lipumba nayo ni Maigizo tu usipate shida ya kutukana watu.
 
Back
Top Bottom