CUF KILWA: Yabariki Prof Lipumba Kufukuzwa

CUF KILWA: Yabariki Prof Lipumba Kufukuzwa

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,917
Viongozi wa Cuf Kilwa pamajo na Mbunge wa Kilwa Wameunga mkono Prof Lipumba Kufukuzwa nakusema kamati tendaji ilikuwa sahihi kumfukuza na Prof Lipumba amekuja kuleta furugu kwenye chama

Wameendelea kusema Kilwa Cuf hawatashirikiana na Prof. Lipumba kwani si Mwenyekiti halali wa chama hicho pia wamepinga sana prof. Lipumba kufungua Account mpya ya chama kwa kusema hausiki na kitu chochote cha chama na nikinyume na katiba ya cham cha Cuf
 
Nimeiona katika taarifa ya habari CHANNEL 10 saa moja jion

Huyu Lipumba anafaham mwisho ni aibu, fedheha na pressure hatimae kifo.

Mtu na heshima zake kujitoa ufaham ni mambo ya ajabu kabisa.

Na wataumbuka wote na Mutungi, hili sekeseke litamwacha uchi.
 
Siyo kufukzwa tu huyu apigwe na kitu chenye ncha Kali hatupendi ujinga wake
Kuwa na ubinaadam usiwe kama SUMAYE alipokuwa waziri mkuu serikali yake iliwabomoa wanacuf Znz wengi wakafa.Leo JPM anawashughulikia anabaki kulialia tu

Oh nchi kuwa mpinzani kazi ngumu yeye Alijua lipumba alikuwa lelemama?
 
Hivi CUF Wakiushinda Huu Mtihani,Wale Wanauochochea Mkwamo Huu Watazificha Wapi Nyuso Zao?
Na Njia Ikifeli,Ni Njia Ipi Nyingine Mpya Ya Kuwavuruga Itakuwa na Madhara Tena Kwao!?
What Doesnt Kill You,Makes You Stronger!
CUF Endeleeni Kukomaa Ili Muendelee Kuleta Siasa za Ushindani kwa CCM!
Hii Itawafanya CCM Waazimie Kudeliver Maendeleo kwa Hofu ya Kupokwa Tonge Mdomoni!CUF Wakifa,CCM Watabweteka!
 
Kuwa na ubinaadam usiwe kama SUMAYE alipokuwa waziri mkuu serikali yake iliwabomoa wanacuf Znz wengi wakafa.Leo JPM anawashughulikia anabaki kulialia tu

Oh nchi kuwa mpinzani kazi ngumu yeye Alijua lipumba alikuwa lelemama?
Kwahiyo mnaiga mabaya?
 
Nimeiona katika taarifa ya habari CHANNEL 10 saa moja jion

Huyu Lipumba anafaham mwisho ni aibu, fedheha na pressure hatimae kifo.

Mtu na heshima zake kujitoa ufaham ni mambo ya ajabu kabisa.

Na wataumbuka wote na Mutungi, hili sekeseke litamwacha uchi.
Asante sana stay tune kwa habari nyingine

Mwanahabari Huru
 
Hivi yule mwenyekiti wa vijana cuf dsm ni kijana kweli mbona kama mzee naomba rita ikamfanyie uhakiki
 
Back
Top Bottom