CUF katika mkutano leo DSM

CUF katika mkutano leo DSM

Naona chama cha wananchi cuf kwa sasa hivi wana mkutano katika viwanja vya soko kuu kariako. Anaezungumza kwa sasa ni mtu anaejitambulisha kama mchungaji naona anamshambulia Dr Slaa na Chadema.
Umati wa watu wa Kariakoo ni kama hawawapi usikivu wowote kila mtu anaendelea na shughuli zake. Hivyo wale waliojikusanya kuwasikiliza wazungumzaji ni kama watu 70 to 80 hivi. Maspika ndoo yamebaki kuvuma ndani ya soko hadi watu hawasikilizani.
My take; Cuf wametumwa dakika za mwisho kupunguza moto wa mkutano wa wapinzani kesho?
.

.

Hawa jamaa wanapokosea ndiyo hapo,CHADEMA si sababu kuu ya anguko lenu nyie kila kukicha mnaishambulia CHADEMA kama ndiyo yenye serikali mkiitwa CCM B mnalalamika,nendeni mkajipange upya mmeshapotea machizi nyie
 
Naona chama cha wananchi cuf kwa sasa hivi wana mkutano katika viwanja vya soko kuu kariako. Anaezungumza kwa sasa ni mtu anaejitambulisha kama mchungaji naona anamshambulia Dr Slaa na Chadema.
Umati wa watu wa Kariakoo ni kama hawawapi usikivu wowote kila mtu anaendelea na shughuli zake. Hivyo wale waliojikusanya kuwasikiliza wazungumzaji ni kama watu 70 to 80 hivi. Maspika ndoo yamebaki kuvuma ndani ya soko hadi watu hawasikilizani.
My take; Cuf wametumwa dakika za mwisho kupunguza moto wa mkutano wa wapinzani kesho?
.

.
Kiby, nina uhakika, hata kama huna camera, simu yako inaweza kupiga picha...
 
Back
Top Bottom