CUF katika mkutano leo DSM

CUF katika mkutano leo DSM

Mkurugenzi anaendelea kuwa serikali imewajengea machinga machinga complex maeneo ambayo sii mazuri kwa biashara zao. Ilipaswa serikali inunue kiwanja katikati ya jiji kuwajengea complex. Kama kungekuwa na mbunge mgendereko wasingefanyiwa hivyo. Inahitajika mbunge mgengereko. Watu wasiojua kabisa jinsi uhuru ulivyopiganiwa wamekuja mjini na kwa sasa wanawadharau wagengereko na wazaramo. Barabara ya kwende kusini imeshindikana kwa miaka 51 kukamilika. Bei ya soko la korosho haijulikani lakini cha kushangaza bei za kahawa zinajulikana. Naendelea kusema kuwa nyumba zemeandikwa msajili wa majumba na nyumba zenyewe zimenyanganywa kwa Murji sijui nani. Watu wa mwambao walinyanganywa na hata sasa bado wananyanganywa nyumba kwa kusukumwa mbali na mji.
.
 
Mkurugenzi anazungumzia utawala katili wa ccm akiwahusisha na kesi ya babu Seya kwamba inawezekana vippi kesi ya watu watatu kesi moja ushaudi ule ule mmoja aonekana kuwa hana hatia na wengine wahukumiwe maisha?
Anazungumzia utofauti mkubwa uliopo kati ya viinua mgongo wa watumishi wa umma kwa kuhoji namna ya upatikanaji huo utofauti.
Anazungumzia jinsi safari za kikwete zinavyoligharimu taifa. Prof. Amempa ushauri kikwete kupunguza safari na kuwahudumia wananchi wake. Huko nje prof alimshauri kuwa makabaila na hao mabepari hawamuelewi.
 
Nilikuwepo eneo la tukio,hakika cuf inatumika vibaya na viongozi wa cuf wamekubali kukiua chama kwa malipo ya ngawira na madaraka kutoka chama cha genge la wahuni linalopigania kutawala milele ili kuficha maovu yao na kuendeleza uzandiki na kuifilisi nchii hii kwa faida ya genge la wachache na familia zao ila sio wote ambao tupo tayari kutumikia majambazi ya kisiasa!!

MKUU!

Si unamuona hata Mwenyekiti wao anapokutana na Mkulu jinsi anavyo kenua kwa kucheka/ kufurahi!!! Kila tukio anapo kutana naye, huwa anatoa mkenuo wa aina yake. Na pia huwa anapewa kipaumbele kwenye kila tukio la Mkulu, mfano mialiko ya Magogoni, sherehe za sensa, sherehe za vitambulisho vya taifa, n.k.

Tetesi zinasema, eti wananyemelea serikali ya maridhiano na umoja wa kitaifa na MAGAMBA 2015. Ndiyo maana wanajipendekeza Magogoni.
 
Kiby unawaanika wenzio, wao walilenga kuwapotosha watu kuhusu maandamano na mkutano wa chadema wanapowapokea wabunge mashujaa hapo kesho.
Hongera kiby.
 
Last edited by a moderator:
Spika zinasikika mpaka kituo cha polisi Msimbazi na mapolisi wapo kuulinda mkutano lakini hakuna anaezingatia suala la mda. Saa 12 ishapita kama ilivyo sheria.
Mkurugenzi sasa anamwongelea mwalimu nyerere kuwa alikuwa mtu wa porojo na kwa sasa hakuna mtu anaeweza kumkosoa. Tatizo la msingi la watanzania kwa sasa sii Lowasa ni mfumo mzima. Kama ingelikuwa ni tatizo ni hawa basi maisha yangekuwa mazuri enzi za mkapa.
Ndege ya raisi ni prof aliyefungua katika mtandao akakuta ndege ya rais inatumia milioni tisini kuruka mpaka china.
Hii ndio ndege Msuya aliyesema kuwa tutakula majani ili inunuliwe. Chadema hakuweza kusema wala nccr bali cuf ndio waliopiga kalele. Chadema, nccr wote walikimbia cuf ndio ilibaki kuitisha maandamano. Watu muhimbili wanakufa kwa kukosa elfu nne ya dozi ya malaria wakati wengine wana bilioni 18 kwenye account.

Hizi ni Porojo za Alfu Lela Ulela.
 
Mkurugenzi anaendelea kuwa watanzania tunahitaji kujioganize ili kuweza kujikomboa.
Anatolea mfano kina mkwawa walivyopambana ilhali kulikuwa hakuna technologia kama ilivyo sasa. Lakini watu hawa wamesahaulika. Tanzania tulikuwa hatuna kabila kama la mzanaki. Mzanaki ni mpita jia tu yule kaja kutudhalilisha tu. Tusipogangamala watoto wetu tutabaki kuuza nyanya tu. Watoto wa kina lowassa ndio watabaki kuwa wakurugenzi na kushika kazi zote za maana. Uliona wapi familia ya watu sabini wamefeli wote? Halafu familia za kina Lowassa ndio tu wanafauli.
NAONA KAMA WANAKATIZWA GHAFLA KUFUNGA MKUTANO.
Jf from-kariakoo/market.
.
 
Dah!huu mkutano wa CUF hapa K'koo umenifungua macho!!kuna udini na ukabila sana..huyu mzungumzaji anawajaza watu upepo wa chuki na uhasama!kweli haya ndo malengo ya CUF?Je ndio hawa wanataka tuwape nchi?nimewasikia nikafadhaika sana...hata niliye naye hakuwa anaipenda Chadema..lakini amepata picha tofauti ya CUF na CHADEMA
 
Anasema Tz hakuna kabila la Wazanaki,hiki ni kikabila cha wahamiaji....hawakutakiwa kuongoza nchi!anasema Wandengereko na Wazaramo ndo wenye Dsm lakini wametupwa nje ya mji!Wangepata Mbunge Mndengereko Machinga wasingepigwa na mgambo wa jiji.....anasema haiwezekani Mkurugenzi wa jiji ktk Wilaya zote za jiji sio Wazaramo,wanaofanya vizuri shuleni sio kina Ally na Juma...ukienda ofisini TRA ni Swai,Shirima na Tarimo...lakn ukija sokoni,kwa machinga,wapiga debe,madereva wa mabasi na wacheza mpira ni Hamisi na Juma tu!2015 ni kuwapga CCM hata kwa Jihad...CHADEMA waliacha kuweka mgombea miaka yote sbb Mkapa ni wao,ila alipokuja Kikwete wakampinga!wanahitaji kuondoa mfumo wa kanisa,na kesho hakuna mbndamano'ni ulaghai wa Chadema!!Prof Lipumba ndo aliingia mtandaoni na kugundua kuwa ndege ya Rais ina mabilioni....Lipumba ndo alipiga mahesabu ya kiuchumi akagundua safar za Kikwete zina athari.....
 
Acha na hiyo ndoa ya CCM na CUF, tena ni ndoa ya jinsia moja, wakiwa nje kila mmoja hujidai mwanaume wa shoka ila wakiwa chumbani kuna dume na jike.
Sio kosa lao wanatekeleza matakwa ya mume wao ili wasije wakatalakika.
mkuu umelelewa katika familia ya aina gani? maana uandishi wako ni afadhali ya yule inzi wa chooni
 
MKUU!

Si unamuona hata Mwenyekiti wao anapokutana na Mkulu jinsi anavyo kenua kwa kucheka/ kufurahi!!! Kila tukio anapo kutana naye, huwa anatoa mkenuo wa aina yake. Na pia huwa anapewa kipaumbele kwenye kila tukio la Mkulu, mfano mialiko ya Magogoni, sherehe za sensa, sherehe za vitambulisho vya taifa, n.k.

Tetesi zinasema, eti wananyemelea serikali ya maridhiano na umoja wa kitaifa na MAGAMBA 2015. Ndiyo maana wanajipendekeza Magogoni.
mkuu umeandika pumba. nivizuri ungekaa kimya kuficha upumbavu wako. huoni wenzako wanavyoandika point? jifunze mkuu.
 
Spika zinasikika mpaka kituo cha polisi Msimbazi na mapolisi wapo kuulinda mkutano lakini hakuna anaezingatia suala la mda. Saa 12 ishapita kama ilivyo sheria.
Mkurugenzi sasa anamwongelea mwalimu nyerere kuwa alikuwa mtu wa porojo na kwa sasa hakuna mtu anaeweza kumkosoa. Tatizo la msingi la watanzania kwa sasa sii Lowasa ni mfumo mzima. Kama ingelikuwa ni tatizo ni hawa basi maisha yangekuwa mazuri enzi za mkapa.
Ndege ya raisi ni prof aliyefungua katika mtandao akakuta ndege ya rais inatumia milioni tisini kuruka mpaka china.
Hii ndio ndege Msuya aliyesema kuwa tutakula majani ili inunuliwe. Chadema hakuweza kusema wala nccr bali cuf ndio waliopiga kalele. Chadema, nccr wote walikimbia cuf ndio ilibaki kuitisha maandamano. Watu muhimbili wanakufa kwa kukosa elfu nne ya dozi ya malaria wakati wengine wana bilioni 18 kwenye account.
.
nadhani aliyesema hayo maneno ni mramba, labda kama unainterest na kale kakabila ketu. heheee!
 
Mkurugenzi anaendelea kuwa watanzania tunahitaji kujioganize ili kuweza kujikomboa.
Anatolea mfano kina mkwawa walivyopambana ilhali kulikuwa hakuna technologia kama ilivyo sasa. Lakini watu hawa wamesahaulika. Tanzania tulikuwa hatuna kabila kama la mzanaki. Mzanaki ni mpita jia tu yule kaja kutudhalilisha tu. Tusipogangamala watoto wetu tutabaki kuuza nyanya tu. Watoto wa kina lowassa ndio watabaki kuwa wakurugenzi na kushika kazi zote za maana. Uliona wapi familia ya watu sabini wamefeli wote? Halafu familia za kina Lowassa ndio tu wanafauli.
NAONA KAMA WANAKATIZWA GHAFLA KUFUNGA MKUTANO.
Jf from-kariakoo/market.
.

Hapo pekundu jamaa alikuwa anahubiri udini wasiwasi!Alishindwa tu kueleza mambo yao yale ya MOU lakini malengo yake yote ni yale yale ya Bwana Mohammed Said kuwa waislamu wanaonewa na lawama tele kwa wakristo na kwa Hayati Mwl Nyerere
 
cuf kwa sasa wana kila dalili kwamba wameanza kukata tamaa, hakuna mtu hatari kama mtu anayekata tamaa, huyu huwa kwa kawaida huwa hataki kufa peke yake anatafuta mtu wa kufa nae..hotuba za udini na ukabila kama hizi hupatikana Cuf tu, sijui inakuwaje!!
 
Naona chama cha wananchi cuf kwa sasa hivi wana mkutano katika viwanja vya soko kuu kariako. Anaezungumza kwa sasa ni mtu anaejitambulisha kama mchungaji naona anamshambulia Dr Slaa na Chadema.
Umati wa watu wa Kariakoo ni kama hawawapi usikivu wowote kila mtu anaendelea na shughuli zake. Hivyo wale waliojikusanya kuwasikiliza wazungumzaji ni kama watu 70 to 80 hivi. Maspika ndoo yamebaki kuvuma ndani ya soko hadi watu hawasikilizani.
My take; Cuf wametumwa dakika za mwisho kupunguza moto wa mkutano wa wapinzani kesho?
.

.

Tuwekee picha basi kama unasema kweli! tuone hao watu 70! kama huna cha kuthibitisha hufai!
 
Ni heri niwe mshabiki wa Alshababy au bhoko haram kuliko kuwa mwanaCUF.
 
Sasa hivi ndo kapanda mkurugenzi wa habari wa cuf jukwaani. Anatangaza kuwa mkutano utaenda mpaka saa 1915 maana polisi ndio wametuzubaisha.
Anawatangazia watu kuwa kesho hakuna mkutano wa vyama vya upinzani. Hayo matangazo yanayotangazwa na chadema ni matamanio yao. Hakuna kitu cha namna hiyo. Anaongaza kuwa ukienda masokoni utakaowakuta ni kina nzirai/hamidu na majina kama hayo. Lakini ukisikia mkurugenzi ni kina masawe na kazi zote zenye hadhi ni kina Mbowe.

.[/QUOTE

Hii kamwe haitaisaidia CUF! udini na ukabila ni sera zilizoshindwa za CCM.
 
Daa mtatiro ngome yako imebomoka!
 
Back
Top Bottom