CUF isishirikiane na CHADEMA milele

cuf imejidhihirisha kweli ni chama makini na hii inatokana na kuwa na viongozi makini Prof Lipumba na Maalim seif toka mfumo wa vyama vingi uanze cuf kimekuwa kikishirikiana na vyama vyote lakini chama cdm kilipopata nguvu kidogo na kutimiza idadi ya kuunda kambi ya upinzani bungeni kimeleta ubaguzi mkubwa, na hii yote inatokana na asili ya muasisi wa chama hicho tunajua anatoka sehemu gani na wafuasi wake, pamoja na kusaidiwa na taasisi moja ya kidini bado chama kinaendelea kujichafua mbele ya macho ya jamii kwa jinsi hii cuf wasifikirie wala kudhani kushirikiana na chama hicho.
DAKU tayari njoo ule!
 
Ungekuwa unatabia ya kujisomea na mfuatiliaji makini usingeandika hichi unachokiandika hapa.
Nyie CUF mmeolewa na CCM pale Zenji alufu wewe unataka tena muolewe na CDM huku bara, Kaeni mkijua kuwa mtu mmoja hawezi kupanda farasi wawili, tulieni na mume wenu CCM anawafaa,
Unapaswa kujua kwamba, kuna ndoa za wake wengi na kamwe haijawai kutokea ndoa ya waume wengi.
Otherwise, wabunge wa CUF wamekua wakisema wao sio wapinzani.
Think critically
.
 
cuf imejidhihirisha kweli ni chama makini na hii inatokana na kuwa na viongozi makini Prof Lipumba na Maalim seif toka mfumo wa vyama vingi uanze cuf kimekuwa kikishirikiana na vyama vyote lakini chama cdm kilipopata nguvu kidogo na kutimiza idadi ya kuunda kambi ya upinzani bungeni kimeleta ubaguzi mkubwa, na hii yote inatokana na asili ya muasisi wa chama hicho tunajua anatoka sehemu gani na wafuasi wake, pamoja na kusaidiwa na taasisi moja ya kidini bado chama kinaendelea kujichafua mbele ya macho ya jamii kwa jinsi hii cuf wasifikirie wala kudhani kushirikiana na chama hicho.
Wewe Mkuu in and out umetumwa wala si mpenda maendeleo ya nchi hii ya Tanzania umetoka kambi ya adui!!!! Maana nia yako si kuleta umoja bali ni kubomoa misingi ya umoja wetu!!!!!!!!!!!Watanzania hatuna ugomvi wa vyama panapohitaji kushirikiana tanafanya hivyo!!!! Sera zetu ndio ufumbuzi wa maendeleo ya nchi yetu, tushirikiane kwenye katiba mpya tukomboe taifa letu!!!!!

Back
Top Bottom