tatizo sio kuwa na raisi zanzibar,ndio mana wazanzbari wanataka wajiunge na umoja wa mataifa ili tupate kuwa international relation moja kwa moja,sasa hivi masuala ya ya relation na nchi za njee yako katika muungano na ndio maana tunatengwa,hili ndio tatizo kubwa la muungano,hata alipokuwa Jeoge BUSH hakufika zanzibar.Kama Zanzibar ina Rais wake, kwa nini walalamike hiyo ratiba? Hata wenyewe wanaweza ku-arrange ziara ya kiongozi wa Taifa jingine. Serikali ya Zanzibar wanadai kuwa Zanzibar si sehemu ya Tanzania bali nchi kamili iliyoungana na Tanganyika. Sasa kama ni nchi kamili, request visitation kupitia balozi za nchi husika.
Kama Zanzibar ina Rais wake, kwa nini walalamike hiyo ratiba? Hata wenyewe wanaweza ku-arrange ziara ya kiongozi wa Taifa jingine. Serikali ya Zanzibar wanadai kuwa Zanzibar si sehemu ya Tanzania bali nchi kamili iliyoungana na Tanganyika. Sasa kama ni nchi kamili, request visitation kupitia balozi za nchi husika.
Nadhani hii haina logic sana. Kwa mfano, Rais Kikwete akifanya State visit United Kingdom ina maana lazima akanyage ardhi ya England, Scotland, Wales, Northern Ireland, na Ilse of man? vinginevyo akitembelea London (ambayo iko London) peke yake basi hawa wengine wataona wamedharuliwa? Hivyo hivyo Rais Kikwete au Mkuu mwingine yeyote wa nchi akifanya state visit marekani lazima atembelee States zote?
Hivi ni viongozi wangapi wametembelea Tanzania lakini huyu Mheshimiwa hajasema chochote. Si yule Sheikh wa Somalia alikuwa hapa juzi juzi tu. Mbona hakukuwa na malalamiko? au ni mambo ya kibakuli zaidi?
AH! Mbona huelewi wewe? Elimu yako iko juu ya Uingereza na Marekani tu hivyo hata pasipo na mfanano basi utataja huko. Hebu tupe mlingano kati ya Uingereza na Marekani na ule wa Tanzania.
Hapa si mahala sahihi kwa watu wenye uelewa mdogo kama wako.AH! Mbona huelewi wewe? Elimu yako iko juu ya Uingereza na Marekani tu hivyo hata pasipo na mfanano basi utataja huko. Hebu tupe mlingano kati ya Uingereza na Marekani na ule wa Tanzania.