Salaam wana bodi,
Naanza kwa kumuuliza, kwenye Jimbo la Kinondoni ingetokea CHADEMA, CCM na CUF wote wangesimamisha mgombea. Je CUF ingeshinda Jimbo hilo? Na taswira hiyo ipeleke nchi nzima kilicho dhahiri hapa ni chadema kujijenga kwa kuitumia CUF, CHADEMA Arusha inaweza kushinda ubunge hata isipoungwa mkono na vyama vingine lakini CUF haina nguvu hii. Hiko ndicho profesa Ibrahim Haruna wa Lipumba anataka kurudisha nguvu halisi ya CUF na si hii CUF ya utegemezi.
Ipo siku wana-CUF watamkumbuka Lipumba.
Naomba kuwasilisha
Shida hujafanya reseach na hujui unachokiandika mbona 2000 vya vya upinzni kikiwemo chadema hakikusimamisha mgombea urais kumsapoti lipumba coz ndio chama kwa wakati huo kilichokua kinanguvu.... Léo hii upepo umeamia kwa CHADEMA hivo nae awasapoti wenzie kufikia lengo wala sio utegemezi ila ni upepo wasiasa tu kwa sasa opposition reading ni CHADEMASalaam wana bodi,
Naanza kwa kumuuliza, kwenye Jimbo la Kinondoni ingetokea CHADEMA, CCM na CUF wote wangesimamisha mgombea. Je CUF ingeshinda Jimbo hilo? Na taswira hiyo ipeleke nchi nzima kilicho dhahiri hapa ni chadema kujijenga kwa kuitumia CUF, CHADEMA Arusha inaweza kushinda ubunge hata isipoungwa mkono na vyama vingine lakini CUF haina nguvu hii. Hiko ndicho profesa Ibrahim Haruna wa Lipumba anataka kurudisha nguvu halisi ya CUF na si hii CUF ya utegemezi.
Ipo siku wana-CUF watamkumbuka Lipumba.
Naomba kuwasilisha
acha hizo wewe , kama hawakumkumbuka alipowatelekeza at a critical moment , leo wakati wana wabunge kibao, acha shallow analysisSalaam wana bodi,
Naanza kwa kumuuliza, kwenye Jimbo la Kinondoni ingetokea CHADEMA, CCM na CUF wote wangesimamisha mgombea. Je CUF ingeshinda Jimbo hilo? Na taswira hiyo ipeleke nchi nzima kilicho dhahiri hapa ni chadema kujijenga kwa kuitumia CUF, CHADEMA Arusha inaweza kushinda ubunge hata isipoungwa mkono na vyama vingine lakini CUF haina nguvu hii. Hiko ndicho profesa Ibrahim Haruna wa Lipumba anataka kurudisha nguvu halisi ya CUF na si hii CUF ya utegemezi.
Ipo siku wana-CUF watamkumbuka Lipumba.
Naomba kuwasilisha
Hoja yako haswa ni nini,hujakimbizwa Kaa tulia soma Mara mbili kisha uchangieLipumba alikuwa na mchango gani katika kupatikana hao Wabunge wa CUF, yeye alipigania nini mpaka CUF wakapata mbunge Kinondoni?
Wakati CUF na UKAWA kwa ujumla wake wanapigania Ubunge yeye alikuwa Rwanda anatumia pesa za CCM
Sasa anataka kula ruzuku asiyoipanda
Mwaka 2000 cuf ilikuwa cuf si hii ya sasaShida hujafanya reseach na hujui unachokiandika mbona 2000 vya vya upinzni kikiwemo chadema hakikusimamisha mgombea urais kumsapoti lipumba coz ndio chama kwa wakati huo kilichokua kinanguvu.... Léo hii upepo umeamia kwa CHADEMA hivo nae awasapoti wenzie kufikia lengo wala sio utegemezi ila ni upepo wasiasa tu kwa sasa opposition reading ni CHADEMA
CCM ilimrubuni..........PropesaSababu ya kukimbia ni ipi?