Mimi nimeshakata Tamaa wapinzani wanaenda kwenye chaguzi kutukanana wao kwa wao, hawana mbinu za kuwadhibiti wezi wa Kura kila wakati wananchi wamewambia mbinu zote wanazotumia CCM kwa wizi lakini hawana hata mbinu za kudhibiti wizi ,tumechoka nao,majigambo tuu bila la maana tunaloliona utasikia basi tunalinda amani ya nchi amani ya nchi mawe ,munawaacha wezi ,majambazi makubwa wanaotapanya rasilmali za nchi kutokuwafika walengwa,wezi waliosababisha nchi yetu iwe ya mwisho kwa vigezo vya elimu duniani
Maskini wa kiafya,nchi ya tatu toka chini kwa umaskini,
Wapinzani ni madondoch kama tulivyo wananchi wengine tunaoangalia waporaji wakijineemesha kwenye vyeo vyao