Mh. CUF ya waislam haya bana! Vyombo vya habari hususani magazeti yapo kibiashara unapoweka habari kuu inayohusu CUF gazeti linadoda, kwa hiyo CUF haina soko yaani haiuziki.Hatuna haja ya kuandikwa na vigazeti vya kikatoliki tutapashana habari misikitini tunakutana mara 5kwa siku!
Ukiwaalika waandishi wa habari siku hizi ,zama hizi za mkono mtupu haulambwi lazima uwape bahasha ya kaki.Kama wao CUF(viongozi) wanatafuna fedha za ruzuku peke yao kwa nini wasipigwe chini kurushwa hewani!!!Juzi Chama Cha CUF Kilifanya mkutano mkubwa wa hadhara katika viwanja vya Jangwani.
Nilikuwepo binafsi nikichukua picha na kusikiliza hotuba mbalimbali. Pamoja na mambo mengine, CUF Inaonekana kutokuwasema vizuri wana habari na nilisikia mwenyewe kutoka hotuba za viongozi, isipokuwa Lipumba pekee mashambulizi, ama vijembe kwa wanahabari.
Viongozi wa CUF wanaamini vyombo vya habari havipendi, ama vinapotosha, ama vinabeza habari kuhusu chama chao, na nilisikia watu wa kawaida wakiazimia kupiga waandishi watakaohudhuria mkutano wao baadaye ikiwa ule wa Jangwani hautaonekana kupewa kipaumbele kwenye vyombo vya habari,hususani magazeti.
Na kweli nimefuatilia magazeti ya jana, mengi hayakutoa uzito wowote kwa habari ya CUF. Mtanzania waliweka picha ya umati,lakini habari yao kuu ilihusu taarifa ya awali ya mkutano wa kamati kuu ya CHADEMA, vivyo hivyo magazeti mengine.
Sasa ni kweli upo mgogoro kati ya waandishi na CUF? Kama ndiyo, umesababishwa na nini, na kama hakuna ugomvi, nini kinapelekea habari za CUF kutopata uzito unaostahili kwenye vyombo vya habari? Je, yawezekana ni mikakati ya washindani wao kisiasa yaani CCM na CHADEMA kwamba CUF wasipewe uzito? Ama ni udhaifu wa idara ya habari ya chama cha CUF yenyewe kutotenda kazi ipasavyo?
Maana nikiri pia kuwa japo mimi ni mwanahabari sikumjua afisa habari wa CUF hadi juzi alipotambulishwa mkutanoni. Na katika mengi ama yawezekana hii ni kutokana na CUF kushuka umaarufu kisiasa kiasi kwamba habari zake hazivuti wasomaji?
Naomba mitazamo yenu
Chanzo: Mjengwablog
Wewe sio mwislamu hiyo ni kejeli umewatupia CUF
Ukiwaalika waandishi wa habari siku hizi ,zama hizi za mkono mtupu haulambwi lazima uwape bahasha ya kaki.Kama wao CUF(viongozi) wanatafuna fedha za ruzuku peke yao kwa nini wasipigwe chini kurushwa hewani!!!
JINO KWA JINO
Maana nikiri pia kuwa japo mimi ni mwanahabari sikumjua afisa habari wa CUF hadi juzi alipotambulishwa mkutanoni. Na katika mengi ama yawezekana hii ni kutokana na CUF kushuka umaarufu kisiasa kiasi kwamba habari zake hazivuti wasomaji?
Naomba mitazamo yenu
Chanzo: Mjengwablog
Lol..!
Tafadhari sana, sahihisha maneno yako, Anaitwa Mtatiro Julius na ni muislam safi.Duh? Kwahiyo CUF ni Chama cha Waislamu? Sasa Julius Mtatiro na wenzake wanafanya nini huko, au nao wamesilimu?
Juzi Chama Cha CUF Kilifanya mkutano mkubwa wa hadhara katika viwanja vya Jangwani.