CUF imewahi Kufanya nini kwaajili ya Tanzania?

Tuache Haya Maneno Yasioitajika Katika Siasa. Wananchi Tumeuliza Maswali na Wanachama wa CUF Hamtaki Kujibu. Watanzania Tunajua CUF ni Chama Kilicho na Nguvu Huko Visiwani. Tunachokifahamu ni Kwamba CUF Inataka Tanzania Visiwani Wajitenge na Hii Ndio Ilikuwa Tatizo Huko Zanzibar kwa Miaka Karibu Kumi. Kila Mtanzania Anaefuatilia Maswala ya Siasa Tanzania Ataona Jinsi Gani Wananchi Wamefanya Kila Njia Kuzuia Vita na Fujo Huko Visiwani na Hata EU Countries na US Walihusika Kutuliza Hayo Matatizo. Kwa Wana-CUF Kujifanya Kwamba Bara Hatukumbuki Nini Historia ya CUF! Kama Kweli CUF Ilikuwa na Msisimko Kiasi Hicho Mbona Hatukuona Huku Bara? Au Matatizo na Umaskini wa Watanzania Bara Hauhitajiki Kupiganiwa? Wengi Tunajua CUF Ipo Weak Bara na CCM Inawatumia na Ku-make Deals Kumaliza Upinzani na Hii ni Fact.

Swala Jingine Tunaliona Hapa Katika Majadiliano ya Kijamii ni Kwamba, CCM na JK Wametumia Maneno ya "Udini Inchini" ili Kuwavuruga Watanzania Wasio na Upeo wa Kitanzania. Tanzania Haina Udini na Haitakuwa na Udini Hata Mara Moja. Ni Makosa kwa Kikwete Kubring Up "Udini Statement" Katika Hotuba Yake. Wananchi Walipiga Kura Kwa Mgombea Fulani Sio Kwa Ajili ya Dini Yake Ila Kuibadilisha Inchi Yao. Tunajua CCM Wanapata Support Kubwa kwa Wasiosoma na Mambumbu Inchini na Hii Ndio Sababu JK Anapenda Kuongea Nao. Tuache Maneno ya Kuleta Udini Katika Hoja. Jitetee na Leta Sera Tunazoulizana ili Kujenga. Kama Chama Kinatatizo la "Image" ni Kazi ya Viongozi Kuirekebisha na Kuimarisha Chama Chao ili Mkristo, Muislamu na Asie na Dini Ajisikie Anakaribishwa. Ideas Ideas Please.......Tutaharibu Mtandao na Majariidiano.

"Udini Haukuleta Umaskini na Kukosekana Kwa Maendeleo Tanzania Ila ni Uongozi Mbaya na Sera Mbovu za CCM Ndizo Zinaimaliza Inchi Mpaka Leo Hii"
 
Vunja muungano, halafu fukuza Wamanga wote na Wamanga-wannabes kama Vuai Nahodha na Le Pumbaz. Kama hawataki kusanya wote zamisha baharini. Problem solved.
 
Kila sehemu ya "Watanzania bara" badilisha na kuweka "Wakatoliki" and only then hayo madai yako yata-make sense kidogo!

Halafu viongozi wa CUF wamepigwa na kuwekwa ndani wakati viongozi wenu wa Chadema walipokuwa wanapewa mikopo ya mabillioni kutoka NSSF ku-renovate Club Billicanas na wengine wake zao wakiwa madiwani wa CCM!

kudadeki,wewe umeanza kuwa sumu,sumu kama mwenyekiti wako! Wewe na udini sijui mnalipeleka taifa wapi? Hamjisikii raha bila kuona machafuko au kujitoa mhanga! Mleta hoja hana haja na udini yeye anaongelea siasa ila watu wachache mliokuja Tanzania mnalazimisha machafuko! Kudadeki naona unatafuta machafuko kwa hamu zaidi kwa udini wako,kama huwezi kujenga hoja tulia wenye akili timamu waongee. Mchango wako na mingineyo ni sumu kwa taifa lenye amani kama Tanzania! Jichunge uache Tanzania ya mwl.julius nyerere ikiwa na amani!
 
tuache kushambuliana wakati lengo ni kuona tanzania yenye neema.
Ni vema muda huu wa malumbano tukajadiliana namna ya kuikomboa tanzania.
Haisaidii kumwambia huyu hakufanya chochote,je unajua alichokuwa anakitaka? Je wewe umefenya ulichotaka kukifanya? Je umefanikiwa? Je ndicho watanzani wanakihitaji.
Ipendeze kuweka malengo na namna ya kuyafikia na kipimo kiwepo.
Je ni nini malengo ya CHADEMA baada ya kupata wabunge hao zaidi ya 40? Je walikuwa wamepanga kupata angalau wabunge wangapi ktk Uchaguzi uliopita?
Tuache ushabiki wa vyama vya siasa na tuangalie nchi yetu.
Vyama vitakuja na kupita lakini Tanzania itakuwepo kwa maana ya historia yake.

na wee ujifunze kuongea na watu wazima,wee unasema tuache kuongelea vyama na tuongelee utaifa tu,ila kudhihirisha kuwa ujielewi unaanza pia kuhoji chadema wamepata wabunge40,je wamefikia malengo? Je malengo yapi mamefikia malengo? Haya yote umeanza kuhoji kwenye mchango wako. Sasa mi napata wakati wa kujua kuwa hata wewe hujui unaongea nini!
 
Nimejaribu kutafuta na kuelewa sababu ya wana CHADEMA kukipiga vita CUF lakini sijaipata. Asilimia kubwa ya wana CHADEMA wanapambana na CUF badala ya kupambana na CCM, wanapoteza muda mwingi sana kuishambulia CUF kama vile ndio chama kinachotawala JMT. Haya mashambulizi yanatoa picha ya kwamba CHADEMA inatumiwa/ imetumwa na CCM au na kikundi cha watu kwa manufaa yao kuishambulia CUF (Mpizani hasiyetetereka) na kuachana na adui wa maendeleo CCM. Chakushangaza kuna vyama vingi sana vyenye msimamo na mtazamo tofauti na CHADEMA lakini CHADEMA haijaviona hivyo vyote na ilichokiona ni CUF tu, je kuna ajenda gani ilifichika?

Kitu nilichokiona mimi ni chuki dhidi ya waislamu tu, japo kuwa siwezi ifananisha na udini au kuita udini. Wapenzi wengi wa CHADEMA ambao si waislamu wanawachukia na kuwapiga vita viongozi wa vyama vingine ambao ni waislamu mfano ni JK na Lipumba. Sijaona shutuma nyingi zikielekezwa kwa Mbatia japo kuwa ametamka hadharani kuipinga CHADEMA na ushindi wake wa jimbo Kawe, Ila shutuma na kejeli dhidi ya Lipumba na JK ni nyingi kupita zile zinazoelekezwa kwa viongozi wengine. Na ni mbaya zaidi pale watu wanapotoa shutuma na kejeli kwa kutumia imani zao badala ya hali harisi ya siasa tulizokuwa nazo kwa wakati huu.

Nchi haijengwi kwa kudharauliana na kwa kuitana majina ya ajabu. Uta kuta mtu anapinga udini lakini kwenye michango yake kaandika "madrasa .." kwa kuwakejeliwa jamii fulani. Tujenge jamii ya kuheshimiana pale tunaoponana na kufahamiana na pale tusipoonana na tusipofahamiana, Inaonesha hapa JF kuna ndugu zangu wakristu wanaoheshimiana na waislamu pale tu wanapoonana na kufahamiana, lakini wakiwa wamejificha nyuma ya pazia la majina bandia wanaonesha dharau na chuki dhidi ya waislamu.

Ila wote tukumbuke kuwa umasikini TZ haukuletwa na waislamu wala waikristu umeletwa na viongozi wetu na chama chenye sera za umaskini CCM.
Tuungane tuikomboe TZ, tupingane pale tonapotofautiana na kwa ustarabu. Anaeipenda CCM muache haipende na usimdharau kwa sababu ya kuchagua CCM, vile vile kwa CUF, NCCR, TLP, CHADEMA, UDP, DP n.k

Mimi natokea bukoba vijijini na ni mwanachama wa CUF na sitokei Pemba wala Kusini na sijaishi Pemba, Kusini wala pwani.
 
Maana hata huko mikoa ya kusini ni Zanzibar ,mapambano yanayoendelea Tandahimba ni Pemba au vipi ,wewe au ninyi kaeni au bakini hapohapo CUF sio Chama cha siasa au imekosa sifa ya kuwa Chama Cha siasa ,kile Chama Cha mlokole ndio chenye sifa ,kama mnataka CUF iwe chama cha udini basi endeleeni hivyo hivyo kuweka walokole wawe wagombea.

hapo kwenye red, unamaanisha kuwa uislamu siyo dini? mbona unaidharau, kuikebehi dini ya chama cha CUF?
 
na opposite is also true. Nyinyi mnaungwa mkono na kanisa kwa sababu ya kidini yaani ukristo na namna chama chenu kinavyopiga vita maendeleo ya zanzibar, zanzibar kujiunga na oic na mahakama ya kadhi. Kwa hilo waswahili tunasema "nyani haoni ***** lake".

By the way, kwenye chama chenu ni mabere marando pekee ambaye alikuwa kwenye harakati za kupinga mfumo wa chama kimoja na kulazimisha kurudishwa mfumo wa vyama vingi baada ya baba yenu nyerere kupiga marufuku vyama vya siasa na vyama vya wafanyakazi. Tena huyo alikuwa pandikizi na shushu la nyerere muda wote huu.

Wakati wana-cuf wanapigwa virungu na risasi cha moto, nyie viongozi wenu walikuwa wako nssf wanachukua mikopo ya mabillioni kukarabati club billicanas! Viongozi wa cuf wamepigwa na polisi na kuvunjwa mkono pamoja na kuwekwa rumande na hata kufikishwa mahakamani wakati viongozi wenu wanavunjika mikono bafuni tu na kupata misukosuko ya maisha wakati wanafumaniwa na wake za watu tu!
, hasira imekujaa sana ndugu yangu ningefurahi kama utaweza kutoa elimu jamii kwa jamii yetu bila kuzingatia udini, ukabila , rangi na ulemavu, ulemavu na maana wenzetu baadhi ya vilema wanatumiwa viungo vyao kutafutia utajiri wa mapesa, nadhani hapa suala tulilonalokuu ni jinsi gani chama cha siasa kinawasaidia wananchi kujikwamua na umasikini uliobobea. Maana hata hapo zanzibar asilimia kubwa ya watu wanakunya maji yasiyosalaama. Labda wewe utueleze quality ya maji ya kunywa binadamu hapo zanzibar yako katika kiwango gani? Gynaecology na obstretics ward zina vyoo yva kiwango kipi za kufuatia sheria za who na au za afya tanzania...., matumizi ya biogas, kwa mashule au kaya au mahospitali huko zanzibar vipi?....nitafurahi sana kama mchango wako utalenga maendeleo ya jamii yetu na siyo ukristo, uislaam na upagani au uhinduism , budhism na mambo mengine ya uchochezi wa kidini. Hongera sana na sisi wakristo watanzania tunafurahi kuwa nawe mtanzania mwenzetu na tungependa kujifunza mambo mengi ili tuiondoe jamii yetu kwenye umaskini huu mkubwa.
 
Kila sehemu ya "Watanzania bara" badilisha na kuweka "Wakatoliki" and only then hayo madai yako yata-make sense kidogo!

Halafu viongozi wa CUF wamepigwa na kuwekwa ndani wakati viongozi wenu wa Chadema walipokuwa wanapewa mikopo ya mabillioni kutoka NSSF ku-renovate Club Billicanas na wengine wake zao wakiwa madiwani wa CCM!

where we dare talk openly!
 
Mlevi mmoja alilewa akaanguka mferejini, punde akapita mwengine nae mlevi akipepesuka. yule alieko MTARONI AKAMWAMBIA YULE ANAYEYUMBA "MWENZETU UMENYWEA WAPI ZINAKUPELEKA IVO?" haya ya KUMBI na KUMBINGA sijui ni MAHOKA ya aina gani??? :teeth:

Wenye akili wamenisoma hapo.
 
, hasira imekujaa sana ndugu yangu ningefurahi kama utaweza kutoa elimu jamii kwa jamii yetu bila kuzingatia udini, ukabila , rangi na ulemavu, ulemavu na maana wenzetu baadhi ya vilema wanatumiwa viungo vyao kutafutia utajiri wa mapesa, nadhani hapa suala tulilonalokuu ni jinsi gani chama cha siasa kinawasaidia wananchi kujikwamua na umasikini uliobobea. Maana hata hapo zanzibar asilimia kubwa ya watu wanakunya maji yasiyosalaama. Labda wewe utueleze quality ya maji ya kunywa binadamu hapo zanzibar yako katika kiwango gani? Gynaecology na obstretics ward zina vyoo yva kiwango kipi za kufuatia sheria za who na au za afya tanzania...., matumizi ya biogas, kwa mashule au kaya au mahospitali huko zanzibar vipi?....nitafurahi sana kama mchango wako utalenga maendeleo ya jamii yetu na siyo ukristo, uislaam na upagani au uhinduism , budhism na mambo mengine ya uchochezi wa kidini. Hongera sana na sisi wakristo watanzania tunafurahi kuwa nawe mtanzania mwenzetu na tungependa kujifunza mambo mengi ili tuiondoe jamii yetu kwenye umaskini huu mkubwa.
Ninaamini ktk demokrasia pevu naona hakuna ubaya wa aina yeyote kama muislamu ataamini kwa dhati rohoni kwake kwamba manta hofu CUF itatetea maslahi yake na kuwa sauti yake hiyo ni haki yake ya kidemocrasia na hakuna wa kumzuia vivyo hivyo kwa Mkristo akiona CDM inaeleweka eleweka kutetea haki zao manta hofu acha wakimbile huko hakuna nguvu yeyote itakayo wazuia wasiende CDM sasa wivu wa nini KIKUBWA KATIBA IWEKE BAYANA WAJIBU/MIPAKA YA KIONGOZI NA WAJIBU NA HAKI YA ANAYE ONGOZWA NA MIPAKA YAKE Hapo kwisha domodomo Dini haisaidii chochote zaidi ya kwenda peponi sasa wanadini si mgombee kufa mkale raha huko peponi mtuache na dhiki zetu hapa duniani MNAKERA SIO SIRI!
 
where we dare talk openly!

wee mwanangu kudadadeki unajua muajiri mkubwa hapa kwetu ni SHETANI Halafu mnabaki audhubilah na shetwan rajim akiondoka bado una ajira? unaogopa kuokota chupa za uhai ni heri kuliko ajira yako ya kufarakanisha wanadamu!
 
Back
Top Bottom