Daah..,kaka imekuwa hayo..,haya hapo kwenye blue..!mbona chadema hawajawahi kuonyesha uwajibikaji hata baada ya tuhuma za ukabila,mauaji ya chacha wangwe,na mengine kibao? akili fupi kama kaptula za wakoloni.......kapime saratani ya ubongo bana
Teh teh teh tehmbona chadema hawajawahi kuonyesha uwajibikaji hata baada ya tuhuma za ukabila,mauaji ya chacha wangwe,na mengine kibao? akili fupi kama kaptula za wakoloni.......kapime saratani ya ubongo bana
kwa nini usema kwa cuf tu,ili ccm wapate nafasi zaidi kuwaumiza wazanzibari ? nafikiri hoja yako zaifu sana,rudi shule kasome japo secondary.Kutokana na ajali ya meli huko Zanzibar..,CUF kama chama cha siasa na sehemu ya serikali ambacho kinaamini katika uwajibikaji pindi matukio ya uzembe wa viongozi walio serikalini ni vema mkaonyesha mfano.Viongozi woote wa CUF walioko serikalini na kwa namna moja wameshindwa kutekeleza majukumu yao na kupelekea ajili hii waachie ngazi mara moja ili kuonyesha kile ambacho CUF wamekuwa wakihubiri kila siku na hii itakuwa ni mfano bora wa uwajibikaji..!
Nawasilisha.
mbona chadema hawajawahi kuonyesha uwajibikaji hata baada ya tuhuma za ukabila,mauaji ya chacha wangwe,na mengine kibao? akili fupi kama kaptula za wakoloni.......kapime saratani ya ubongo bana
Nawataka viongozi wangu wa CUF wajiuzuru kwa sababu kila siku wamekuwa wakihubiri juu ya suala la uwajibikaji wa watendaji pindi uzembe unapopelekea maafa..,kwa upande wa CCM tumeshawazoea wana ombwe la uongozi..,pia ni chama kilichojichokea kinasubiri kufa..!Kujiuzuru kwa viongozi wa CUF walioko SUK zanzibar itakuwa ni mfano bora kuwa chama chetu cha wananchi si CCM B..,otherwise itajulikana kuwa hata CUF ni CCM B..!kwa nini usema kwa cuf tu,ili ccm wapate nafasi zaidi kuwaumiza wazanzibari ? nafikiri hoja yako zaifu sana,rudi shule kasome japo secondary.
Chadema haijawahi kuingia Serikalini, na mara tu watakapoingia tutadai vivyo hivyombona chadema hawajawahi kuonyesha uwajibikaji hata baada ya tuhuma za ukabila,mauaji ya chacha wangwe,na mengine kibao? akili fupi kama kaptula za wakoloni.......kapime saratani ya ubongo bana
Sometimes kukaa kimya kuna maana na ni busara zaidi kuliko "kuongea"!mbona chadema hawajawahi kuonyesha uwajibikaji hata baada ya tuhuma za ukabila,mauaji ya chacha wangwe,na mengine kibao? akili fupi kama kaptula za wakoloni.......kapime saratani ya ubongo bana
tukio la ajali ya Zenji ni halili halisi; siyo tuhuma.
tumia akili kidogo kutoa hoja, usitumie matamanio.