CUF bara waufyate tuu

 
Wewe ni wa kupuuzwa tu na kuhurumiwa
Hijielewi
Umechanganyikiwa wewe, lowassa alisema mwenyewe hatoki CCM na wasiompenda ndiyo waondoke. kumbuka vizuri badala ya kutoa mapovu.
 
Lipumba siasa za sasa uziwezi mtatilo siasa za upole sasa akuna chama kimeona jembe
 
Kipindi kigum chakujipima muhimil upo imara kias gan
 
Mshana upo sahihi kabisa

Tatizo la huyo prof ni kutumiwa kuiua CUF,pia baada ya kuiacha CUF katika hali ile, ndiyo walifanya vizuri zaidi kuliko wakati wowote kwa upande wa Bara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…