WAMBURA BONIPHACE
Member
- Sep 20, 2012
- 32
- 5
Hawa jamaa wanatoka swala ya ijumaa nini!
V4C = Vibaraka 4 Change? Ha ha ha ha! Ngoma inogile.
labda wakafanye mkutano msikiti wa bondeni tena wavizie ijumaa.wao walidhani sombetini kwa kuwa kuna waislamu wengi wakadhani watakua ni wanazi wa cuf by default!!?arusha ni chadema tu
ubarazuli hukufundishwa ndio tabia yakoHuyu mwanamke angesubiri mume wake atoke dodoma kwenye vikao ili aje amsaidie kwenye hiyo kampeni yake ya 'kopi and pesti'...
mkuu ni kweli kabisa ,cuf haijawahi kuwa serious na mbaya zaidi inatumika kuzorotesha maendeleo.
View attachment 65861
anakuwa na akili kama za kamuhanda za kutoa matumbo ya watu nje, na akizeeka anakuwa kama ighondu, kung'oa kucha na meno ya watu bila ganzi! LORD HAVE MERCY!Hivi baba na mama kama wote ni matahira mtoto anae zaliwa huwa na akili timamu....
nani mume, nani mke hapo?? Naomba kujuzwa!najihisi mdini fulani ila sidhani!!!!!!!