Hahaha mimi ni mkristo lakini hapo ndugu zangu wapendwa waislam mtaangukia pua vizuri mno, nyie zifakamieni izo currency ndio mtajua hamjui..jamaa wameingia kwa gia ya islam crypto wakiamini islam ni kubwa na islam supports each other..hizi crypto ni muhimu kuzidadisi sana kabla ya kununua coins Brazilians wanaibia watu sana kwenye hizi mambo..by the way walionunua bitcoins miaka kumi iliyopita ni matajiri maana kwa sasa I coin inaenda kwa USD22000.