Inauzwa au kupatikana kwenye platform gani?Maisha yanaenda kwa kasi ya wastani wa mwendo wa jongoo wala siyo farasi.
Cryptocurrency sijui zile Bitcoin na nyingine nyingi tu zimeletwa zikiwa na makusudi ya kuifanya dunia kuwa sehemu salama hasa kwenye matumizi ya fedha isiyo na mipaka.
View attachment 2523755
Baadhi ya watu wanaona hizi pesa za kidigitali ni uwizi wa kisomi kwa wale wasioelewa nje/ndani na kuamua kuuponda.
Kadharika, dhamira ya kimataifa ya jamii ya kiislam imeona isibaki nyuma na sasa imeamua kuleta fedha ya kidigitali kwa ajili ya jamaa ya kiislam na ambayo haitakuwa na makato, ushuru wala zile kero nyenginezo mnazozifahm.
Islamic Coin (unaweza kuiita hivyo) au Sarafu ya Kiislamu, kwa muktadha ya uialam ni Haramu?.
Naweza kusema HAPANA kwa sababu hakuna mahali katika Quran ambapo sarafu ya kidijitali ilipendekezwa au kuzuiwa ni mawazo tu!.
ISLM itawezesha jumuiya ya Kiislamu duniani kwa kutumia kifedha hiyo itauwezesha umma kufanya miamala na mwingiliano bila conflict of boundaries huku ikiunga mkono uvumbuzi na uhisani kutoka mahala tofauti duniani.
Elimu dunia hiyo. Ni dhambi shauri lenu
Huu ni upumbavu tu hakuna kitu kma hichiMaisha yanaenda kwa kasi ya wastani wa mwendo wa jongoo wala siyo farasi.
Cryptocurrency sijui zile Bitcoin na nyingine nyingi tu zimeletwa zikiwa na makusudi ya kuifanya dunia kuwa sehemu salama hasa kwenye matumizi ya fedha isiyo na mipaka.
View attachment 2523755
Baadhi ya watu wanaona hizi pesa za kidigitali ni uwizi wa kisomi kwa wale wasioelewa nje/ndani na kuamua kuuponda.
Kadharika, dhamira ya kimataifa ya jamii ya kiislam imeona isibaki nyuma na sasa imeamua kuleta fedha ya kidigitali kwa ajili ya jamaa ya kiislam na ambayo haitakuwa na makato, ushuru wala zile kero nyenginezo mnazozifahm.
Islamic Coin (unaweza kuiita hivyo) au Sarafu ya Kiislamu, kwa muktadha ya uialam ni Haramu?.
Naweza kusema HAPANA kwa sababu hakuna mahali katika Quran ambapo sarafu ya kidijitali ilipendekezwa au kuzuiwa ni mawazo tu!.
ISLM itawezesha jumuiya ya Kiislamu duniani kwa kutumia kifedha hiyo itauwezesha umma kufanya miamala na mwingiliano bila conflict of boundaries huku ikiunga mkono uvumbuzi na uhisani kutoka mahala tofauti duniani.
Mkuu siku hizi watu wazushi wapo wengi sanaa na wakitaka kuhalalisha kitu huongezea ISLAMICMkuu hiko kitu kipo nilifuatilia nimeona watu wapo serious na hii kitu, tena wengine ni wenye hiyo dini kutoka Saudia hadi Makka!.
Ngoja waje hawa wenye dini ya kweli uone [emoji23][emoji23][emoji23]Tukiwaambia dini zote ni biashara muwe mnaelewa. Ni kwamba kila mtu anataka amiliki dini ili afanye biashara kwa msingi wa dini na kupiga pesa.
Mecca yaumbuka: Siri kubwa yafichuliwa!
Kwa wale mtakaokumbuka lile sakata la rushwa katika kinyang'anyiro cha kugombea kuwa mwenyeji wa michuano ya kombe la Dunia la mwaka 2022 ambapo Qatar ilishinda, mtaona ni kwa jinsi gani michuano hii ilivyo na manufaa na faida kubwa sana kwa nchi mwenyeji kutokana na wageni wengi sana kuja na...www.jamiiforums.com
Ndo ivo yani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] UBWABWA!.