Simeone
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 1,119
- 1,253
Wakuu nimetengeneza website ya kugundua fursa za Crypto (arbitrage)
Nimeweka matangazo ya adsterra lakini wadau wanasema muonekano ni mbaya na matangazo hayapo sehemu sahihi, naomba mfungue hiyo link kwa maoni na ushauri.
Je matangazo natakiwa niyaweke sehemu gani?