Medical Dictionary
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 1,057
- 309
Heshima kwenu wakuu.
Mimi ni form 6 leaver nimesoma PCB na nikafanikiwa kufaulu vizuri. Nipo njia panda kwamba nichague faculty gani kati ya bachelor of pharmacy au doctor of medicine..naombeni mnishauri wakuu..kuhusu ipi naipenda zaidi? Zote nazipenda. Naombeni mnishauri kwakutumia criteria zifuatazo:
1. Ipi inalipa zaidi?
2. Ipi inamazingira mazuri zaidi ya kufanyia kazi?
3. Ipi ina marupurupu zaidi?
4. Ipi rahisi kujiajiri zaidi?
5. Ipi inademand kubwa zaidi kwenye soko la ajira?
Unaweza ongeza criteria nyingi