Cross-Examination Mahakamani

Mmh
 
Kilichopo ni, Mmoja anatamka, milion 56 tuliobaki ni kusema Ndio bila kudadisi. Inakuwa Usiku inakuwa Mchana Dunia inazidi kuongeza speed hasubiriwi mtu.
 
Hayo ndio matokea ya kuua upinzani bado watu hawajaona mambo.
 
Seen...

Jr[emoji769]
 
Mteule mweledi na wa kufanya kazi kwa kutumia taaluma na miiko ya taslimu hawezi fanya kazi na wakuu wa nchi. Anaeweza ni yule atakaekubali kufunga mdomo na kusubiri kuambiwa la kufanya na yeye kutelekeza kama alivyo ambiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo ya cross examination, ni balaaa. Lazima mtu ajichanganye.

Big up mkuu - Mshana Jr
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ndo ule msemo wa ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO unapofaa kwa hali hii.
 
Wenyewe wanasema wamechomoa dakika za jioni kabisa mtoto wa Mpinzani mkuu alikuwa na Corona sasa mtoto wa no 1 nae amekutwa nao ila kapona kwa nyungu na malimao ila yule wa "disco" hajatangaza hii!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…