[emoji120][emoji120][emoji120]ila mimi kijumbe tu kakaMungu akuweka hakika wewe jamaa ni Akili kubwa sna...
Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
Pamoja na ukijumbe wako ila sifa yko Mara nyingi uwa na sahau kkupa naogopa sije kuondoka nikawa mnafiki kusema nyuma yko...[emoji120][emoji120][emoji120]ila mimi kijumbe tu kaka
Jr[emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120][emoji123][emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109] pokea dedication hiiPamoja na ukijumbe wako ila sifa yko Mara nyingi uwa na sahau kkupa naogopa sije kuondoka nikawa mnafiki kusema nyuma yko...
Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
Pamoja sna ndugu yngu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120][emoji123][emoji123][emoji123][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109] pokea dedication hii
Jr[emoji769]
7)WAKILI: Mheshimiwa, unakubaliana na mimi kua nyungu hutumika kutibu watu wenye "Mapepo Na Mashetani" toka enzi za mababu zetu kina Mzee Kinjikitile???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Baada ya mapumziko mafupi, tunaendelea na Cross Examination. . .
6) WAKILI: Mheshimiwa, mara nyingi hua mnasema "Vitu Vya China Ni Fake", je korona nayo ni fake?
I objectThe case stands dismissed as it is frivolous and vexatious and is an abuse of the process of the Court.
Tatizo mfungaji.. Vifaa havina shida kabisaWahudhuriaji wa kesi wote vicheko, mbavu zinabana wakumshika bega hayupo.
Wote tunaulizana ndani ya mahakama tatizo ni holder au bulb???
Maana vyoote ni Tronics lakini vinatuvuruga mpaka yaliyokuwa majibu yamegeuka maswali.
Huu ujumbe ni maridhawa!