Mafanikio na mchezaji Bora tutasimama kwa yule mwenye mafanikio ya kupata vikombe...na si mibio na kuchana nywele kwa style...amka
messi was injured in 2008 and cr7 took a chance to b a winner az ze same messi kaumia last yr na cr7 kachukua tena co cr7 asubil messi aumie tena mjnga huyo
ronald ni bora sana
Na akikosa utameza Panga au Fyekeo?
sio razima uwe mchezaji bora ulaya ndio uwe mchezaji bora duniani.pia wapiga kura ni tofauti sana kati ya kuchagua mchezaji bora ulaya na duniakweli ni bora ila ubora unazidiana,kwa msimu ulioisha ribery ni bora zaidi yake,
ribery ni mchezaji bora ulaya ambapo ronaldo yupo ndani yake ina maana alimpita kwa vigezo vyote,sasa iweje leo ampite kwenye tuzo hii,kwa lipi hasa?hiyo mechi ya sweden au?mbona hata ribery nae aliipeleka france kwa jitihada kubwa!tena hao fifa wamesogeza makusudi muda wa kupiga kura ili kumpa nafasi ya kutengneza rekod lakini wapi?
Ribery ni bora zaidi
sio razima uwe mchezaji bora ulaya ndio uwe mchezaji bora duniani.pia wapiga kura ni tofauti sana kati ya kuchagua mchezaji bora ulaya na dunia
sawa ila tukiweka mambo ya kura,kwa mwaka 2013 aliyefanya vizuri uwanjani kati ya ribery na ronaldo ni nani?
sawa ila tukiweka mambo ya kura,kwa mwaka 2013 aliyefanya vizuri uwanjani kati ya ribery na ronaldo ni nani?