Cristiano Ronaldo amechukua tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa ulaya

Kitombise

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
8,287
24,318
Cristiano Ronaldo amewashinda wachezaji
Antoine Griezman na Gareth Bale na kutwaa tuzo
ya mchezaji bora wa Ulaya kwa upande wa
wanaume. Ushindi huu umetokana na mafanikio
yake msimu uliokwisha huku akiwa ametwaa
vikombe vikubwa vya ulaya kwa maana klabu
bingwa ulaya na kombe la mataifa ya Ulaya.
Ronaldo pia alikuwa mfungaji bora wa Ulaya
huku akiwa wa pili kwa ufungaji katika ligi kuu
ya nchini Hispania. Ikumbukwe pia, Ronaldo
alifika fainali hizi huku mpinzani wake akiwa ni
Antoine Griezman na kumshinda kote ijapokuwa
kwenye fainali ambayo Ureno walitwaa ubingwa
aliumia mapema sana.
Ronaldo alifunga mabao 51 kwenye mechi 48
msimu uliopita huku akifunga mabao 3 pekee
kwenye mashindano ya mataifa ya Ulaya
ambapo mchezaji Antoine Griezman alikuwa
mfungaji bora.
1472147989438.jpg
 
Attachments

  • 1472148114952.jpg
    1472148114952.jpg
    55.8 KB · Views: 82
Cristiano Ronaldo amewashinda wachezaji
Antoine Griezman na Gareth Bale na kutwaa tuzo
ya mchezaji bora wa Ulaya kwa upande wa
wanaume. Ushindi huu umetokana na mafanikio
yake msimu uliokwisha huku akiwa ametwaa
vikombe vikubwa vya ulaya kwa maana klabu
bingwa ulaya na kombe la mataifa ya Ulaya.
Ronaldo pia alikuwa mfungaji bora wa Ulaya
huku akiwa wa pili kwa ufungaji katika ligi kuu
ya nchini Hispania. Ikumbukwe pia, Ronaldo
alifika fainali hizi huku mpinzani wake akiwa ni
Antoine Griezman na kumshinda kote ijapokuwa
kwenye fainali ambayo Ureno walitwaa ubingwa
aliumia mapema sana.
Ronaldo alifunga mabao 51 kwenye mechi 48
msimu uliopita huku akifunga mabao 3 pekee
kwenye mashindano ya mataifa ya Ulaya
ambapo mchezaji Antoine Griezman alikuwa
mfungaji bora.
View attachment 387625
katwaa au katwaliwa
Shukrani ziende kwa Edder na Ramos

Kabebwa na kashfa ya ummoroco
 
Yani nilijua tu nkiweka huu uzi hapa lazima ukatize...!

Hapo roho inakuuma kweli...

Bwahahahaaaaaaaa

Labda nkuulize swali;
Unafikiri ni nani ambaye angestahili hii tuzo kama siyo cr7?
ni kweli imenishangaza mkuu
1472148798610.jpg
HUYU ALISTAILI
 
Back
Top Bottom