AbasMzeEgyptian
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 407
- 312
Nimerudi tena....
Nimerudi tena....
Mkuu heshima yako, ungefunguka angalau kidogo hapo kwenye assassination plots dhidi ya Dr. Dau.
*Samahani lakini.
hapana totoz ndio wanamfuata MagoriIla Magori kwa totozz hafai kuongoza NSSF hata kdg,
Magori, Jenista Mhagama, Abdallah Bulembo, Charles Kitwanga, Eric Shitindi sasa wako desperate
Hii ni ripoti ya 2010/11 na ilishajibiwa kwenye exit meeting na mkaguzi mkuu wa serikali
sasa ni 2016
Kwanza walianza na UDINI wakaambiwa leteni ushahidi wameshinwa kuleta Ushaidi
Pili wakasema Dau kajenga msikiti ofisini kwake na ndani ya jengo la Mkapa tower wakaambiwa leteni ushaidi hawana
Tatu wamekuja na daraja, wakaambiwa leteni ushahidi wa ufisadi kwenye daraja wameshindwa kuwasilisha
Sasa mbona hawasemi kuhusu assassination plots dhidi ya Dau au hiyo haifai kusemwa?
Wewe kama target ya mada yako ni Magori, Eric Shitindi anahusika vipi hapa?
Hahaaa, mtenda akitendewa eeeh. Itakuwa ni uzuzu (ambao naamini hana) kwa Magufuli kumteua Magori kuwa DG. Ateue mpiga kazi kutoka nje tu aje aendeleze mapinduzi kama Dau alivyoteuliwa kutoka nje.Rais wetu mpendwa hatukuwahi kusikia kashfa za magori kabla ya kutumbua dau,so pls maneno ya wawa mafirauni usiyaweke kikichwani piga kazi na magori ni jembe lako
Dau ulifanya mapinduzi ya mwisho,kama kweli ukifika mahali hawawezilipana mshahara au kulipa mafao ni mapinduzi makubwaHa
Hahaaa, mtenda akitendewa eeeh. Itakuwa ni uzuzu (ambao naamini hana) kwa Magufuli kumteua Magori kuwa DG. Ateue mpiga kazi kutoka nje tu aje aendeleze mapinduzi kama Dau alivyoteuliwa kutoka nje.
Hiyo iko too sensitive kwa sasa
uwaachie vyombo vya usalama vifanye kazi yake
Lakini news zingine ni hizi
View attachment 325673 View attachment 325674 View attachment 325675
Hiyo iko too sensitive kwa sasa
uwaachie vyombo vya usalama vifanye kazi yake
Lakini news zingine ni hizi
View attachment 325673 View attachment 325674 View attachment 325675
Inaonekana haya mashirika walijigawia kama Mali za Familia zao wapuuzi wakubwaThis is nonsense.
Yaani mtu unatumika kumchafua mtu ili asipate U-DG hata kwa kuokoteza habari za kijinga jinga tena za uongo tu. Yaani kumchafua mtu kwa gharama yoyote.Hapo NSSF mbona mnafanya mambo ya kipuuzi kwa sababu ya wivu na chuki tu?
[Mambo binafsi hayana nafasi ktk kupewa shirikaUOTE="Ben Saanane, post: 15420413, member: 1098"]This is nonsense.
Yaani mtu unatumika kumchafua mtu ili asipate U-DG hata kwa kuokoteza habari za kijinga jinga tena za uongo tu. Yaani kumchafua mtu kwa gharama yoyote.Hapo NSSF mbona mnafanya mambo ya kipuuzi kwa sababu ya wivu na chuki tu?
But nasikia Dr. Dau na Dr. Magu walitofautiana kuhusu nani wa kusimamia ujenzi wa hilo daraja,Dr. Magu alitaka lisimamiwe na wizara na Dr. Dau aligoma....NSSF ndi waliotoa bilioni 200 kujenga daraja kigamboni
lakini mkandarasi alichaguliwa na wizara
labda hapo huyu ana kitu anakijua
je daraja lile ni la bilioni 200 kweli?