Crescentius Magori, ni nani kwenye serikali ya Magufuli?

Tunafahamu kuwa Waziri wa kazi Jenista Mhagama, Katibu Mkuu wizara ya Kazi Eric Shitindi, Waziri wa mambo ya Ndani, Charles Kitwanga Mkurugenzi wa Operations NSSF Crescentius Magori na Director wa Public Relations NSSF Eunice Chiume wanafanya kazi ya ziada kumchafua Dr magazetini lakini kwa nini wahariri wanakubali kutumika kupandikiza mbegu ya chuki na udini?

Kwa nini huu uchochezi unanyamaziwa na vyombo vya dola?

sasa ile habari kuwa Magufuli alipewa taarifa za uwongo juu ya Dr Dau na watu wake (akina Sefue, Shitindi,Kitwanga na Mhagama) hazikukuwa na ukweli wowote ule na hii jitihada yenye harufu ya duni inayotumika sasa imedhihiri wazi kuwa hii vita dhidi ya Dr Dau ni Udini na sidhanii kama Mheshimiwa Magufuli anafurahia haya mambo.

Kwanza Magazeti ya MTANZANIA na DIRA na JAMBO LEO yalimchafua Dr Dau kwakutumia ripoti feki ya CAG

sasa naona RISASI wamekuja na hiii

hatujui kesho na wiki ijayo magazeti yakuja na nini lakini sidhani kama wakoaji wakubwa wa Dr Dau watapendezwa na hili

Pia cha kushangaza kwa nini Dr Dau hajayashitaki haya magazeti yanayomchafua? ni wazi waziri wa Habari Nape anafurahia haya mambo ya kuchafuana magazetini.



20160409_045728.jpg
 
msemo na magori are out
Eunice itakuwaje maana hao ndio walikuwa watu wake
mbona unaogopa kuweka vitu wazi?

Eunice alikuwa anatembea na Magori toka alipokuwa mwalimu wake CBE
Wakapata kazi NSSF na uhusiano ukaendelea
mpaka alipotokea the one and only John Msemo...
 
Back
Top Bottom