TYRION LANNISTER
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 224
- 207
PICHA: Magori akiwa na Eunice Chium kwenye mkutano
Baada ya kuanzisha huu uzi naona bora nifanye majumuisho ambayo yanatokana na wachangiaji mbali mbali na naona tunapata picha kamili kadri muda unavyozidi kwenda na hasa mahusiano yake na Katibu Mkuu kiongozi Ombeni Sefue, Katibu mkuu wizara ya kazi,Eric Shitindi, waziri wa mambo ya ndani Charles Kitwanga na Waziri wa Kazi Jenista Mgahama.
Jamiiforums, where we dare talk openly.
____________________
So far wachangiaji kwenye uzi huu wanasema hivi:
[QUOTE="AbasMzeEgyptian, post: 15423660, member: 49066"
CRESENTIUS MAGORI (KIGOGO WA NSSF ALIYEVUNJA NDOA YA KIONGOZI MKUU KWENYE SERIKALI YA MAGUFULI)
CHARLES KITWANGA WZIRI WA MAMBO YA NDANI
ERIC SHITINDI KATIBU MKUU WIZARA YA KAZI NA AJIRA
[QUOTE="AbasMzeEgyptian, post: 15407473, member: 49066"
Naona mnaficha ficha maneno
Magori alipewa kazi na Dau NSSF na alikuwa ni mwalimu pale CBE akapandishwa vyeo weee na leo ndio kinara wa kutaka kumngoa Dau...lakini ukweli ni kuwa Magori naye anatumiwa na watu kufanya hiyo kazi
Magori kwenye huo mpango kashirikiana na watu wengi sana lakini kwa majina ni na:
1. Waziri wa kazi na ajira (JENISTA MHAGAMA)
2. Katibu mkuu wizara ya Kazi na ajira (ERIC SHITINDI) -Huyu anatumwa na magori kama mtoto mdogo
List ya watu wengine nikiiweka JF inaweza kufungwa lakini kwa kuanza nawapa hiyo Intro na tutaendelea kupeana taarifa zaidi kadri muda unavyozidi kwenda
Hao watajwa hapo juu pamoja na watu wengine wamekuwa na mikakati ya muda mrefu kumngoa Dau NSSF lakini tatizo walikuwa hawana ushahidi wowote wa kumu implicate Dau kwenye ufisadi wa aina yoyote ile
Kilichofanyika ni wao kudhani kuwa Dau alikuwa analindwa na Rais JK lakini wamesahau kuwa miaka ya nyuma kundi kama lao waliwahi kumfuata Rais Mkapa (MKRISTO) kulalamika kuhusu Dau na UDINI na wakaambiwa wapeleke ushaidi. Mwishowe wakashindwa na Rais Mkapa akawaambia kama wameshindwa kufanya kazi kwa spidi ya Dau waondoke yeye hapendi mambo ya Kijingajinga
Sasa unachikiona ni malalamiko kuhusu Udini...lakini ukiwaambia hao akina Magori wapambe wake wapeleke ushaidi wa udini hawana
Sasa kilichobaki ni kulalamika kuhusu gharama za Daraja. Lakini ukiwauliza walete ushahidi wa ufisadi kwenye ujenzi wa Daraja hawana...
Ndio maana Rais Mgufuli alipopelekewa ripoti za uwongo na fitna aliyofanyiwa Dau akaitazama na ikaundwa team maalum kuchunguza huyo ukweli.
Magufuli kashafanya kazi miaka mingi sana na Dau na anamjua ni mtu wa namna gani lakini tatizo naye amezidiwa nguvu na hasa ukizingatia team ya wanaomtumia Magori as Pawn kwenye hii vita waliamua kumtumia ndugu yake Magufuli ambaye kwa sasa ni waziri wa mambo ya ndani ( CHARLES KITWANGA).
Watu wa System (USALAMA WA TAIFA) wakampelekea taarifa zote za ukweli na Magufuli kakasirika sana na hasa kamkasirikia maswahiba wake wakubwa ambao alikuwa anawaamini walipa taarifa za fitina na kumfitinisha na Dau bila ushahidi wowote ule.
Sasa mleta mada kama una maswali mengine kuhusu huyo Magori sema. Lakini huyo binti ambaye kapiga naye picha hapo ni kati ya hao waliokuwa kwenye list ya waliofanya mikakati ya kungoa Dau huku wakimwona wanamchekea kwenye Koridor za Jengo la Makao Makuu ya NSSF
Mkitaka mikanda mingine ya huyo Magori semeni lakini[/QUOTE[/quote
AbasMzeEgyptian: ↑
Eric Shitindi akiapa mbele ya JK lakini je bosi wake wa ukweli alikuwa nani?
mleta mada fumbo mfumbie mjinga....
Ngoja nianze kufumbua haya mafumbo ya pascoo
Magori ndio bosi wake ERIC SHITINDI ambaye ni katibu mkuu wizara ya Kazi. Sasa mnataka uwekewe Voice notes na videos jinsi gani Magori alivyokuwa anampa instructions na saa zingine anamkaripia Katibu Mkuu afanye nini.
Labda cha kujiuliza Godfather wake huyu Shitindi ni nani? Na wako connected vipi na magori zaidi ya kuwa wote ni mashabiki wa Simba?
[QUOTE="mkomatembo, post: 15345654, member: 63847"
Huyu kaongea yaliyo moyoni, na huna mamlaka ya kumtukana, magori ni Director wa operations wa nssf, hakuna asojua nguvu alotumia kumchafua Dau ukiwapo na wewe humu mitabdaoni, rejea post zako nyingi, lakini mtaumbuka!
Dau amemuachia kukaimu naona nlifanya na party siku ule! Ila kabla magufuli hajampa hiyo nafasi afanye uchunguzi wa ke ni mara ngapi magori alikuwa tanzania na mara ngapi alikuwa nje nadhani atapata jibu zuri kabisa.
Hata kama ana uchapakazi ni mnafiki, na anaweza hata akaja kumzunguka huyo magufuli! Sidhani kama ataendana na kasi ya magufuli ![/QUOTE]
[QUOTE="lusungo, post: 15347597, member: 194867"
Kuna watu hawamfahamu vizuri Magufuli ila kadiri muda uendavyo watamfahamu kiuhalisia ni nani na kwanini amepiganiwa sana aingie hapo alipo.....
Dau inasemekana aliziba mirija hasa kwa watu wetu now anasomeshwa namba...
Ngoja tukae pembeni muda utazungumza.[/QUOTE]
[QUOTE="mkomatembo, post: 15347388, member: 63847"
Inawezekana Dau amemkuta Magori, lakini alikuwa katika position ipi? Na mpaka alipofika hapo alipo ni nani alimgroom mpaka akafika hapo na mpaka amzunguke mbuyu mwenzio kuanza kumnanga mitandaoni kuwatumia kina shinyanga kwetu at all, vyovyote ilivo yeye Magori hana ufisadi nssf? Tuanzie hapo? Tumesikia bodi ilivunjwa TPA na yeye ni mmoja wa hao je ilivunjwa kwa bahati mbaya? Na juu ya ubadhilifu na ufisadi ulotokea leo aje apewe UDG wa nssf , ntamshangaa sana rais wetu anaejitahidi kuonesha wazi anachukia ufisadi![/QUOTE]
[QUOTE="nitonye, post: 15352641, member: 63949"
Mleta mda ameshapeleka ripoti kwa wakubwa wake nyie bado mnararuana na habari ya udini, kumbuka dhamira ya mleta mada ni kucollect any info inayomuhusu magori na ndio maana kawapa uwanja wa kutiririka[/QUOTE]