Obhusegwe
JF-Expert Member
- Dec 28, 2008
- 231
- 30
Wakuu, habari ya mei mosi?
Naomba msaada kama kuna mtu alishawahi kununua gari kutoka kwa hawa jamaa wanaitwa enhance auto: Japanese Used Cars Exporter Enhance Auto
Kuna gari nimeliona kwao nataka nilifatilie sasa nisije nikalizwa bila kuuliza.
Ahsanteni kwa msaada