Creative Design: Breaking down the JF Logo into different Colors, What is your Favorite

Creative Design: Breaking down the JF Logo into different Colors, What is your Favorite

Jamaa kasahau wabongo hawajui rangi. Ahaaaa kijan
Ndio maana kuna mdau moja alishauri niweke namba ili iwe rahisi kutambua ipi ina mvuto

Kutambua rangi kwa lugha ya kigeni ni tatizo kwetu wengi Mimi nikiwemo.

Halafu kuna Jamaa kaniambia rangi ya logo ya jf sio blue.ni dark blue.
 
Black is great, though it will not always be pretty.
 
Hahaha safi sana tutor...ila kidogo kama umei- stretch into width.lakini yawezekana macho yangu yakawa yana tatizo.all in all,thanks for your initiative.
powa, tuko pamoja, Nipo nawanoa vijana ili nao waweze kama sisi
 
Black is great, though it will not always be pretty.
Asante mkuu kwa comment yako.

"black is beauty" kama wapedavyo kusema wadau wa masuala ya ulimbwende.
 
1469521035091.jpg
 
Back
Top Bottom