Ukweli Kwa mujibu Wa muono wangu ,juu ya kinachodhaniwa kuwa ni mgogoro ndani ya CCM.
Kama alivyo iokoa CCM mwaka 2015 ,bwana Lowassa ndivyo 2020 bwana Membe atakavyoiokoa tena,
Migogoro mingi ndani ya CCM sio halisi, kumbuka hiki ni chama chenye makachero wengi sana , na wengi wapo tayar Kwa namna yeyote kutetea chama, Lowassa alitoka CCM kwenda UPINZANI ,na huyu ndiye amekua downfall ya wapinzan since alipoenda,
Remember these are calculated risks , anatoka muda anagain fame , wananchi kadhaa wanamfuata, anashinda au anashindwa lakin real results inakua fixed coz mpinzani anajua anachokifanya.
Mwaka 1995 Mrema ,kachero Wa CCM alitengenezwa ,akaiva ,you know what happened baadae,
Lowassa alitengenezwa akaiva ,u know what happened after ,
And now Membe na associate wake ni kigenge kinachopikwa kuja ku shadow wapinzan halisi.
Muda wote wapinzan wameshindwa kusimamisha watu wao halisi , wamekua wakisimamisha makachero Wa CCM.
Ndio maana hata wakidhulumiwa kwenye uchaguzi Hawa wagombea wao hawana shida kufuatilia haki zao.
Sio mbowe ,sio Slaa na Wala sio Zitto , Hawa wote ni makachero .
Wapo kuhakikisha hakuna wapinzan Wa kweli wanaibuka nchini.
Nchi zingine huenda mbali zaidi ,hutengeneza hadi waasi feki kama LRA(Lord resistance Army) huko Uganda.
Hawa Mseven kawatengeneza
Kwanza umoja wa mataifa unampa pesa nyingi ili apigane nao kumbe it is just a hoax ,Joseph Kon knows better this political game analocheza na mseven ,japokua wafuasi wake huamin he is a true mseven opponent.
Marekan pia hutumia njia ndefu na ngumu zaid pia , kwan hutengeneza makundi ya waasi sehemu nyingi dunian mfano ISIS,talban na pia Saddam Hussein na Osama bin Laden ,wote Hawa walikua makachero wa Marekan ,walipo iva anawapa majukumu na kujifanya anapigana nao.
The good news is kwetu hapa Tanzania Bado tupo kwenye upinzan Wa kutengenezwa kidemokrasia kama Hawa wapinzan feki akina mbowe ,Zitto , maalimu na wengine.
Ts good hatujafika sehemu ya kuwa na vikundi vya waasi .
Japo siku ikitokea wapinzan wakawa real kwenye democracy ,mambo yatawaka msituni .
Namaliza Kwa kusema kinana,membe ,nape etc ni makachero waliopikwa kwa miongo mingi sana na Wana damu inayotiririka kijani, they are creating internal crisis for the best of CCM, make no mistake kudhan kuwa Hawa wamekosana na CCM.
Si Lowassa huyu huyu tuliambiwa kaiba mahela ? Si rostam huyu huyu mpaka alivua gamba na ubunge akaacha ? Kashfa cjui ya umeme etc ?
Ts a hoax relax get some popcorn kula nyama , mnachezewa mchezo