Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 2,695
- 6,224
Kaka Niko kwenye mtanziko (dilemma) mkali sana. Yaani nimeshindwa kujua nimchague yupi.secretarybird ebu ngoja kwanza kaka😁😁View attachment 3546354
Seran kaniambia huwa anarushaga chupa Kwahiyo bora nikung’ang’anie wewe tuondoke wote 😁
Haswaaa👌🏽 tenaaa!! Atulize kiranga kabisaa..unatak kumaanisha atulize mshono sio?😉
Babe we mzuri ndio😍Mbona me mzuri ivyo😍
Huu uchonganishi sasa😁
❤️❤️❤️Babe we mzuri ndio😍
seran baby wangu atulize kiranga?🙌😁 hivi unamfaham kwanza?Haswaaa👌🏽 tenaaa!! Atulize kiranga kabisaa..
Nyie si ndio mnamleta huku safari inayokuja mkimbieni msije nayee 😂Huyu wa kurusha chupa awe anabaki tu nyumbani😁
Kubaki ndio nilishashindwa nitawafuata kwa nyuma😆Huyu wa kurusha chupa awe anabaki tu nyumbani😁
😹Tunamkimbia akiwa anaoga kabisaNyie si ndio mnamleta huku safari inayokuja mkimbieni msije nayee 😂
😋😋😋❤️❤️❤️
Sitaki hata kumfahamu, ntampandisha sukari bure mzigo ulale😂seran baby wangu atulize kiranga?🙌😁 hivi unamfaham kwanza?
Nyooh! Ntawavutia 420💚 hamtaamini yani😆Nyie si ndio mnamleta huku safari inayokuja mkimbieni msije nayee 😂
Seran anakudanganya jiangalie vizuri kwenye kioo 😂😂😂❤️❤️❤️
Ohh Jesus!!!