secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 15,264
- 28,442
Nimeona 🤣.Angalia juu 😁😁 tayari
Nimeona 🤣.Angalia juu 😁😁 tayari
Unaforce sio? Ngoja tutest kwanza😆Broke 😎.
Uweee mi ntakuwa nawasha vibe tu aangaliwe Binti wa zamani mwenye lishepu lake na we chaupole😂😹Alafu wote wanakuangalia ww
Sawa usisahau kuchukua tip tugawane🤣😄😄😄😄😄 mimi kazi yangu ni kuwaongezea vinywaji mleweeee alafu nianze kusikiliza story za walevi
😅Editor kamnyima Binti wa zamani shepuUweee mi ntakuwa nawasha vibe tu aangaliwe Binti wa zamani mwenye lishepu lake na we chaupole😂
hebu usinichekeshe mi naumwa vichomi bwana😄😄,,, ila nitajitahidi sitaki sio naanza kukuelezea uliyo yafanya unanikana,, nitakunyonga binti😅😅Sawa usisahau kuchukua tip tugawane🤣
Unaforce sio? Ngoja tutest kwanza😆
View: https://www.instagram.com/reel/DUiXwznDCKx/?igsh=eDBrNGtmbHJ4NnBx
Nimetulia zangu naona watu wananitafuta maneno 😂 ila soon nitakua kipotabo acha ananitabirie mema.😅Editor kamnyima Binti wa zamani shepu
Ngoja aje online
Na huwa sisahau uchizi wangu wote asubuhi nikiamka naanza futa status nilizopost usiku mzima🤣hebu usinichekeshe mi naumwa vichomi bwana😄😄,,, ila nitajitahidi sitaki sio naanza kukuelezea uliyo yafanya unanikana,, nitakunyonga binti😅😅
nani alikwambia mimi ni mrefu na natumia left? hivi humu JF wote ni usalama wa taifa eee🙌😁😁😁😁😁
Nimetulia zangu naona watu wananitafuta maneno 😂 ila soon nitakua kipotabo acha ananitabirie mema.
Shenzi wewe😅Hahaha 😂, nimefurahi sana.
Yani utajua hujui😂nani alikwambia mimi ni mrefu na natumia left? hivi humu JF wote ni usalama wa taifa eee🙌😁😁😁😁😁
kwahiyo umeona ujiweke kama camera women usionekane si ndio🥴Na huwa sisahau uchizi wangu wote asubuhi nikiamka naanza futa status nilizopost usiku mzima🤣View attachment 3546351
😁😁😁 kwa kweli sijui vingiYani utajua hujui😂