CRDB tembo visa card vs CRDB tembo master card

CRDB tembo visa card vs CRDB tembo master card

leonMarc

Member
Joined
Oct 27, 2017
Posts
6
Reaction score
7
Poleni na majukumu wana JF.
jaman naomba msaada mwenye kujua tofauti na matumizi na vingine vyovyote vinavyohusu accounts tajwa hapo juu katika crdb bank anifafanulie .nawasilisha kwenu wana jamiiforum.
 
Mkuu JF imekuwa kama ya watoto wa chekechea tuu yaani mtu anawahi kuwa wa kwanza ku-coment atakama coment haina mahusiano na mada husika.


Umetoka nje ya mada mkuu ,tunajadili CRDB master card vs CRDB Visa card
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom