Sam mirror
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 1,461
- 2,241
Kwa siku wanakata 3500
Nmb wahudumu wake kwa nini huwa wavivu ?Naona angalau NMB,hao niliwakimbia Mapema sana
Una moyo. Mie wangenikuta mlangoni kwao mweeeWalisha geuka watuma matangazo kama tigoView attachment 1691934
CRDB na Voda ni mtu na Binamu yake 😂😂😂 pole sana mkuu. Mi zangu ntaweka NMB tu.Hawa jamaa Ni wapuuzi Sana hii benk sio ya kuweka hela yako aiseee...
Hata akienda majibu ndio haya...Hawa jamaa ni kama Voda tu wanakulima pesa kisha watakwambia ni service charges tu.Polee ulikaa mda mrefu bila Kuweka hela? Kama ni hivyo hizo tozo zao za kila Mwezi,kama ni kinyume na hapo wafate wakwambie wameipeleka wapi?
Hivi BOT na haya mabenki si kama nyani na ngedere? Hapo naunga mkono kwa alisema turudi kwenye masandarusi. Ingawa kwa zama hizi, hilo nalo haliwezekani.CRDB na benki nyingi nchini zinatengeneza faida kutokana na tozo [charges] badala ya kutengeneza faida hiyo zaidi kwa kukopesha wateja!!
BOT ndio wenye dhamana ya kuhakikisha kuwa haya mabenki yanatoza wateja wake tozo za haki na sio kuwabambikiza. Hivyo haya malalmiko ya wateja yasingekuwepo iwapo hawa benki kuu wangefanya kazi yao ya kuyaangalia haya mabenki kwa umakini. BOT wafanye kazi yao vizuri ya oversight ili haya mabenki yasijitengenezee faida isivyo halali.
Bank bora kwa sasaMbona equity bank wako powa tu
Naweza sema ni ya 3 kwa kusambaaBank bora kwa sasa
Aisee sijawahi tumia NMB vip wakoje huko? Napata wakati mgum niwe natunza wapi hela sisi wasakatonge ukikatwa 30k kichwa ianuma siku nzima.CRDB na Voda ni mtu na Binamu yakepole sana mkuu. Mi zangu ntaweka NMB tu.
NMB wako poa hawana makato ya kishwaini kama hao jamaa hapoAisee sijawahi tumia NMB vip wakoje huko? Napata wakati mgum niwe natunza wapi hela sisi wasakatonge ukikatwa 30k kichwa ianuma siku nzima.
Sent using Jamii Forums mobile app
NMB wako poa hawana makato ya kishwaini kama hao jamaa hapo
Njoo Equity ule raha DunianiHawa jamaa ni wapuuzi Sana hii benk sio ya kuweka hela yako aiseee.
Kuna mteja wangu juzi kanipigia simu Kuna balance nilikua namdai anataka nimtumie account namba anayoweza kufanya malipo...nikamtumia account Yangu ya Crdb kwa sababu nilikua busy jion ndo nilipata muda wa kuangalia salio nikakuta jamaa kaniwekea hela kweli!
Leo kwenye ratiba yangu Kuna mzgo nilitaka kulipia asubuhi na mapema ikabid niende kwa wakala kutoa hela. Kabla sijatoa hela nikamuomba anichekie salio. Hawa wajinga nimekuta wamekata 35,000 /= Aisee roho imeuma sana.
CRDB nimewahama rasmi Hawa Ni vibaka Kama una hela huko aisee jitahd kuangalia salio Hawa Jamaa nadhami mda wote wamekodolea Account zetu.
CRDB shwain