CRDB Sasa Basi!

CRDB Sasa Basi!

Mzee Shirimaa

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2018
Posts
1,539
Reaction score
3,462
Hawa jamaa ni wapuuzi Sana hii benk sio ya kuweka hela yako aiseee.

Kuna mteja wangu juzi kanipigia simu Kuna balance nilikua namdai anataka nimtumie account namba anayoweza kufanya malipo...nikamtumia account Yangu ya Crdb kwa sababu nilikua busy jion ndo nilipata muda wa kuangalia salio nikakuta jamaa kaniwekea hela kweli!

Leo kwenye ratiba yangu Kuna mzgo nilitaka kulipia asubuhi na mapema ikabid niende kwa wakala kutoa hela. Kabla sijatoa hela nikamuomba anichekie salio. Hawa wajinga nimekuta wamekata 35,000 /= Aisee roho imeuma sana.

CRDB nimewahama rasmi Hawa Ni vibaka Kama una hela huko aisee jitahd kuangalia salio Hawa Jamaa nadhami mda wote wamekodolea Account zetu.

CRDB shwain
 
Sasa mkuu nadhan kuna makato ya mwezi hukulipa. Ukija bank zingine utakoma mbona
 
Naona angalau NMB,hao niliwakimbia Mapema sana
Mimi mwenyewe hao nmb wamevuta 20000 yangu siku chache zilizopita! Hata sijui kilitokea nini! Maana hakuna taarifa yoyote ile. Wanafyeka tu kama vile hizo hela ni za kwao.
 
Njooni Zanzibar bank.
Mimi mwenyewe hao nmb wamevuta 20000 yangu siku chache zilizopita! Hata sijui kilitokea nini! Maana hakuna taarifa yoyote ile. Wanafyeka tu kama vile hizo hela ni za kwao.
 
Naona angalau NMB,hao niliwakimbia Mapema sana

CRDB na benki nyingi nchini zinatengeneza faida kutokana na tozo [charges] badala ya kutengeneza faida hiyo zaidi kwa kukopesha wateja!!

BOT ndio wenye dhamana ya kuhakikisha kuwa haya mabenki yanatoza wateja wake tozo za haki na sio kuwabambikiza.

Hivyo haya malalmiko ya wateja yasingekuwepo iwapo hawa benki kuu wangefanya kazi yao ya kuyaangalia haya mabenki kwa umakini. BOT wafanye kazi yao vizuri ya oversight ili haya mabenki yasijitengenezee faida isivyo halali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom