CRDB ni benki ya kuogopa kama ukoma

Na ukitumiwa kutoka huko ulaya hakikisha inaingia chini ya kitanda direct, huwezi kuwa mzima wewe.
Naweza kusema nilisoma kichwa cha uzi, na nimecoment kulingana na hichwa cha uzi, sikusoma uzi wenyewe, usinione hamnazo ndo tabia yetu wazee wa karakana...
 
Halafu yule mngese wa police anamtaka polepole badala ya kudili na tukio kubwa la hiyo bank ..... na serikali pumbavu ya Samia ipo kimya hadi sasa hakuna cha maana kinacho elezwa πŸ‘‰πŸ’©πŸ’©πŸ’©
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…