Hata kwenye website yao wameweka rate hiyoKwa viwango vya jana nilipobadili hela dollar ilikuwa 2450 sijui kwa leo. Jaribu kuwasiliana nao.
Mkuu kuna watu wanalipa kwa swift tu otherwise ningelipwa kwa wisePokelea hela yako Binance mkuu then uza Dola zako kwenda MPESA
Na ukitumiwa kutoka huko ulaya hakikisha inaingia chini ya kitanda direct, huwezi kuwa mzima wewe.Jifunze kuhifadhi pesa zako chini ya kitanda, ni salama kwa afya yako...
Selling and buying exchange rate will differ obviously, but not to that extent. Nenda ukahoji bank wakupe maelezo.Hata kwenye website yao wameweka rate hiyo
Moto ukiwaka je?Jifunze kuhifadhi pesa zako chini ya kitanda, ni salama kwa afya yako...
Ulivyoenda kufungua ili uweke vijisenti vyako ulitushirikisha ?Wakuu kesho nafunga akaunti yangu ya CRDB aisee hii benki ima wizi wa kiwango cha standard gauge.
Wiki iliyopita kuna mtu alinitumia USD 206 kwenye akaunti iliongia 406000 nikaona rate ndogo lakini nikahisi labda kuna makato sikufuatilia.
Leo nometumiwa $2850 wallah nimepokea msg kwenye akauti imeingia 5,410,932. Huu ni wizi wa kiwango kikubwa hata kama dola imeshuka haijafika wao kunipa rate ya 1850 hivi. Huu ni wizi kabisa.
Rate ya leo benki ni tsh 2410-2430Wakuu kesho nafunga akaunti yangu ya CRDB aisee hii benki ima wizi wa kiwango cha standard gauge.
Wiki iliyopita kuna mtu alinitumia USD 206 kwenye akaunti iliongia 406000 nikaona rate ndogo lakini nikahisi labda kuna makato sikufuatilia.
Leo nometumiwa $2850 wallah nimepokea msg kwenye akauti imeingia 5,410,932. Huu ni wizi wa kiwango kikubwa hata kama dola imeshuka haijafika wao kunipa rate ya 1850 hivi. Huu ni wizi kabisa.
Hiyo rate ya bureau mtaani, benki ni chini zaidi.Kwa viwango vya jana nilipobadili hela dollar ilikuwa 2450 sijui kwa leo. Jaribu kuwasiliana nao.