Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,206
- 8,446
Wakuu hio bank kwa sasa haina Uwezo tena wakuhudumia wateja wake iko at Full, Haiwezi tena wala haiwezi kugrow tena Ukijichanganya ukaitegemea hii bank kwenye mambo ya kifedha utapaata Mkwamo hatari sana, Leo tangu Jioni mpaka muda hakuna mtandao wa Simbanking sio App wala Ussd, Ovyo kabisa, Hii bank Kwa User base iliyonayo sitaki kuamini kama Wanataka Kuiangusha Kesho ntachukua stiff decision nihamishe Vijisent vyangu
