CRDB Mnatuibia, acheni

very true,
kama akichukua wanalima 10, na kukata wanakula 10 tena maana yake hiyo 20, yaani sawa na 10%. hapo bado haujaitoa wakucharge tena
hatare sana

Naona mnadanganyana na jamaa yako, haya nenda kakope vicoba au saccos uone riba yake. Kwa hiyo 10,000 ni 10% ya laki 2? rudini darasani
 

Why do you pay kwa kuwapa fedha zako?
 

Kwahiyo 5% ya 190,000 ni 10,000 rudi shule kwanza ukajifunze tena mtu anakupa 190,000 at the rate 5% halaf unarudisha 200,000 unasema ni sawa HUU NI WIZI!!!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mi nakuona boga kabisa ukikopa hiyo 200,000/= wanakupa 190,000/= yaani 10,000/= riba yao wanachukua mapema na mshahara ukitoka wanakata tena na walichokata awali wanakulima 200,000/=kumbuka walikupa 190,000/=
 
Kuna Benki bora Tanzania kuliko mabenki yote...,,sema tu watu hawaijui. Yaani Benki EQUITY ukiweka hela yako unaikuta vile vile hakuna makato yyote. Na kutoa hela ATM pesa yyte makato yao ni Sh700 tu. Yaan hawa jamaa nawakubali sana. Sio kama hao CRDB wako unaoweka hela kila siku wanaikata na hakuna ongezeko lolote wanalokupa. Wezi sana hao jamaa. Chuo wametuibia sanaaaaaa.
 

CC: Mkurugenzi wa CRDB
Mheshimiwa acheni kupiga hela za watu
Tumewashtukia
Wateja hatupendi makato yenu yasiyo na kichwa wala miguu, msituone sisi ng'ombe wa kukamua maziwa tu, nyie vipi?
 
Haya ndo maneno..hela unaikuta vile vile. Ntaenda huku baada ya 2025 maana hapo kabla hata benk m ilikuwa pia ni bonge la benk ila leo limekabidhiwa kwa azania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila shaka unamfahamu dr livingstone aliyegundua ziwa tanganyika kabla ya waha wa kigoma!
Mi nakuona boga kabisa ukikopa hiyo 200,000/= wanakupa 190,000/= yaani 10,000/= riba yao wanachukua mapema na mshahara ukitoka wanakata tena na walichokata awali wanakulima 200,000/=kumbuka walikupa 190,000/=

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nadhani ulipo patwa na huo wasiwasi wa kwamba unaibiwa ungeli uliza kwa wahusika na wakakupa maelezo, huwa kwa taasisi na makampuni yanayofanya biashara inayopokea malipo kutoka kwa wateja/suppliers/nk huwa wanafunguliwa Akanti za Collection (Makusanyo) ambapo zinakuwa na Management Fee kwasababu ni maalamu na zina attract some administration costs sasa hapo inakuwa ni makubaliano baina ya hiyo taasisi na benki husika, kuna taasisi hizi gharama inazilipa zenyewe na kuna taasisi ina transfer hizo gharama kwa wateja wake hayo ni makubaliano sasa. Nadhani ni vyema tukawa na utaratibu wa kuuliza mambo kwa wahusika na kupata majibu kuliko kuyapeleka maswali sehemu ambapo utazidi kupata mkanganyiko zaidi, mabenki karibia yote yana collection account na yanatoza hizi gharama kutokana na makubaliano.
 
Benki ya CRDB wanakituo cha huduma kwa wateja, website na akaunti za instagram, twitter na facebook tembelea huko watakuelewesha zaidi na kukupatia utatuzi wa suala lako, wanasikiliza sana, mm nadhani hiyo ni njia sahihi ya wewe kupata maelezo ya kina.
 
Ni kweli mkuu hiyo imenikuta juzi hapa Mkuu Rombo nilienda kumlipia ada ndugu yangu CRDB wanalipisha 1200

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijana unauhuru wakuongea na kuandika chochote utakacho jiskia ila auna uhuru wa kuudanganya Uma haswa kwa kipindi hiki,uwezi kuibiwa ila umejiibia mwenyewe kwa ufinyu wa akili unajua kama au chajiwi kwanini usimuulizie meneja wake unakuja kutuandikia utumbo usio na maana mimi jana nimeweka pesa katila akaunti ya mtu mwingine mbona sikuchajiwa BHIKOLA unapo amka Asubuhi angalia vitu vya kupost nenda Google chukua picha ya Bombarder Dash 8-Q400 au Boeing 787-8 Dremliner zifanyie matangazo tutakuona Mzalendo.
 
Asante sana mkuu kwa comment yako. Ngoja niende shamba nikalime boss hayo ya bomadier waachie wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…