Najaribu kufikir tu...kama akikopa lak 2. Anapokea lak 90 maanake wamekata 5% ya hela uliyooomba yaan lak 2.
Sasa tuje siku ya malipo...fikiria weww ukiwalipa tu ile lak na 90 uliyochukua cash je wao watakuwa wametengeneza faida?! Jibu ni hapana. Watakuw hawajaingiza income yoyote hapo.
Ukitaka kuelewa zaidi chukulia kama wangekupa lak 2 kamili...bila shaka ungelipa lak 2 na elf 10. Sasa kwasababu walishachukua elf 10 yao toka mwanzo ndo sababu unarudisha lak 2 kamili.
Anyway...najua hesabu hii alikuja nazo Dr living Stone....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu,
Sasa fikiria kuwa umepewa 190, na unatakiwa ulipe na 5% utalipa shs ngapi?
Maana kama halali yao ni 5% haupaswi kuwalipa 10%.
Msijifiche nyuma ya kikokotoo. Mngetaka haki bin khalali mngempa hiyo 200 kisha mkate 210 wakati wa mrejesho
Bora shule ilipie halafu wataijumlisha kwenye ada ili kuwaondelea usumbufu wateja/wazazbhikola na wadau wengine, huibiwi sema tu hawajakupa maelezo kwa nini unalipia 1180, iko hivi hiyo shule ndo imefungua akaunt crdb, huwa kuna amount wanatakiwa walipie sasa mara nyingi mwanzoni wenye mashule huwa hawalipii wanakwepa hiyo gharama na inahamishiwa kwenu.
Kasema mshahara ukiingia wanakata tena elfu10! Hapo inakuaje?Ukikopa 200,000 inapaswa urudishe 210,000 ila unarejesha 200,000 kwa sababu tu ile 5% = 10,000 inakuwa imekatwa mwanzoni kabisa ndo mana unapewa 190,000!
Asante kwa kunielewa mkuu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuokoa nguvu na muda mkuu,
Hata matangazo hutaki duh...
Unamshipa wa ngiri ww, incase hujui kitu bora ufunge bwambwa, unakubali vp kulipia deposits... Mlalamikaji ni haki yake.... People kama ninyi hamfai ktk jamii, yaan roho mbaya, MwishoKwani mwenye shule amekwambia makubaliano aliyonayo na CRDB-Bank PLC? Ingawa unataka kuonesha kuwa umefikia kiwango cha digital, ukweli ni kuwa bado uko analogia, tena sana. Wewe lipa tu karo ya mwanao asome badala ya kulalamikia vijimambo vidogo vidogo. Benki zote hutoza bank charges kwa huduma wanazotoa, na hii hulingana na makubaliano baina ya benki husika na wateja wake. Kwanza inaonekana ni mara yako ya kwanza kusomesha mtoto shule binafsi, na umefanya hivyo reluctantly.
Mkuu kuna tofauti kati ya ku deposite na ku transact.nadhani tatizo ni interpretationHabari wakuu,
Nimetafuta jukwaa la fedha au malalamiko sijaliona, so kama haifit hapa mnisamehe.
Iko hivi, jananimekwenda kulipa ada kwaajili ya kijana wangu anaanza Kidato cha kwanza (shule ipo Dodoma). Sakata lilianzia shuleni, hawataki malipo ambayo hayajapitia dirishani kwa benki.
Yaani lazima uwe na pay slip ya bank. So, hauwezi kufanya mobile payment wala internet banking. Hii ikawa kero kubwa sana maana kwa ulimwengu huu ulivyo sipiiiidiiii haifai watu hasa taasisi kubaki analojia.
Kufika bank (CRDB tawi lipo Moro), nikaambiwa, kila transaction ya kuweka pesa kwenye akaounti ya hiyo shule natakiwa nilipie charge ya Tshs 1,180.00 Hii kwangu ilikuwa na mpya, ya ajabu na wizi. Unaanzaje kutozwa fedha kwa kudeposit? Sijawahi kuiona popote dunia nzima
CRDB acheni hizi mambo, mnatuibia, hakuna gharama ya kudeposit
Ni hayo tu
Habari wakuu,

L
CRDB acheni hizi mambo, mnatuibia, hakuna gharama ya kudeposit
Ni hayo tu
Samahani Mukuu, Hata POS walikataa, Ile kwa wakala wa CRDB bank?? Naona Umezungumzia Channel mbili tu Mobile na Internetaani lazima uwe na pay slip ya bank. So, hauwezi kufanya mobile payment wala internet banking
Hahaha..Dah kuna watu "wakatili" duniani...
Yaani elfu 20 mpaka umuingizie benki!!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfano ile Salary Advance wife akikopa 200,000/= wanampa 190,000/= mshahara ukitoka hawakati hiyo 190,000/= wanamlima tena 200,000/= nilimwambia bora ukope VICOBA tu.
hili linekuwa libenki la kijizi, mara liwachome wateja wake kwa majambazi, mara liwachome wateja kwa polisi yaani kwa sasa nishida tupu!
Mfano ile Salary Advance wife akikopa 200,000/= wanampa 190,000/= mshahara ukitoka hawakati hiyo 190,000/= wanamlima tena 200,000/= nilimwambia bora ukope VICOBA tu.