CRDB Mnatuibia, acheni

nafikiri wanataka uhamishe account to account ungejaribu kuwauliza hao customer care wao ila kiukweli nchi hii mambo yamebadilika sana yani kila mahali kuna gharama zinaongezeka
 
Kuna miswada mingi imipelewa kwa hati ya dhalara bungeni ikishakua sheria mtaani tunagombana wenyewe kwa wenywe tuwacheki kwanza wazee wakikokotoleo kwanza kabla ya kulaumu CRDB
 
Na usishangae wakakuripoti kwenye vyombo vya dola,ni mawakala wa polisi pia,si shule tu,tumia benki nyingine
 
This time, hakuna Rangi tutaacha kuiona. TWT
 
Mm ninaacount pale, internet banking inasumbua balaa,kila waki reset nabadilisha nikiweka password wanasema nimekosea. Imenibidi niende equity bank. Haiwezekani hela ni yangu halafu niwe nawabembeleza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijajua huu utaratibu ni Wa wapi,nakumbuka Hata nilipokuwa chuo ukienda kulipa kupitia crdb lazima wakukate hiyo hela so tulichokuwa tunafanya ni kukimbilia bank nyingine NBC ña exim....Kwahyo alilosema mtoa mada ni sahihi kabisa na sijui kwa nini wao wanalipisha kiasi hicho na bank nyingine hazilipishi
 
Duh,hii hesabu ya wapi mjomba???

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilichomwelewa mie ni kwamba badala ya kukata 5% tano wanakata 10% tofauti na mkataba wa kukopa hio huduma.
Tsh. 10,000/- wanayokata mwanzo ni 5% ya 200,000/-. Ila mshahara wa mamsap ukiingia wanalima tena Tsh. 10,000/-. Hivyo mamsap anakuwa amekatwa 10% ya alichoomba tofauti na mkataba unatamka gharama ni 5%. Wanamahesabu mtajazia na kurekebisha nilipokosea na kutomwelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bhikola na wadau wengine, huibiwi sema tu hawajakupa maelezo kwa nini unalipia 1180, iko hivi hiyo shule ndo imefungua akaunt crdb, huwa kuna amount wanatakiwa walipie sasa mara nyingi mwanzoni wenye mashule huwa hawalipii wanakwepa hiyo gharama na inahamishiwa kwenu.
 
POLE SANA, HILI JAMBO NI KUBWA SANA ,NAKUOMBA ULIWAKILISHE HILI JAMBO KWA ZITTO ZUBERI KABWE ILI AKUSAIDIE KULIFIKISHA KWA RAFIKI YAKE C.A.G ASSAD,
ILI ALIFANYIE UKAGUZI.
ahsante narudia pole sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukikopa 200,000 inapaswa urudishe 210,000 ila unarejesha 200,000 kwa sababu tu ile 5% = 10,000 inakuwa imekatwa mwanzoni kabisa ndo mana unapewa 190,000!

Asante kwa kunielewa mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo pesa unaiweka benki kama deposit au unaituma kwenye akaunti ya shule kwa lengo la kufanya malipo ya ada ya mwanao?.. Naona unachanganya kuweka na kufanya malipo!.
 
Najaribu kufikir tu...kama akikopa lak 2. Anapokea lak 90 maanake wamekata 5% ya hela uliyooomba yaan lak 2.

Sasa tuje siku ya malipo...fikiria weww ukiwalipa tu ile lak na 90 uliyochukua cash je wao watakuwa wametengeneza faida?! Jibu ni hapana. Watakuw hawajaingiza income yoyote hapo.

Ukitaka kuelewa zaidi chukulia kama wangekupa lak 2 kamili...bila shaka ungelipa lak 2 na elf 10. Sasa kwasababu walishachukua elf 10 yao toka mwanzo ndo sababu unarudisha lak 2 kamili.

Anyway...najua hesabu hii alikuja nazo Dr living Stone....
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…