We fala tulia. Mimi ninahela huku naweza lisha ukoo wenu miaka 100 na nikabaki na chenji. Huwezi hama benki kamunahama bar mkuu tumia akili sio ma***ko
Hata wasijihesabu wakusanyane tu itatosha idadi yao haina maana sana. La msingi wasichukulie kila mtu ni sawa na waoMkuu ukoo wao wapo wangapi na matumizi yao yapoje kwa siku??harafu uwalishe karne moja?
Hongera kwa kujaaliwa ukwasi mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
We fala tulia. Mimi ninahela huku naweza lisha ukoo wenu miaka 100 na nikabaki na chenji. Huwezi hama benki kamunahama bar mkuu tumia akili sio ma***ko
mtu mwenye hela zake hawezi andika maneno mengi analalamikia kadi ya benki, ungetumia hata internet banking.We fala tulia. Mimi ninahela huku naweza lisha ukoo wenu miaka 100 na nikabaki na chenji. Huwezi hama benki kamunahama bar mkuu tumia akili sio ma***ko
Duuuh😂😂😂We fala tulia. Mimi ninahela huku naweza lisha ukoo wenu miaka 100 na nikabaki na chenji. Huwezi hama benki kamunahama bar mkuu tumia akili sio ma***ko
We fala tulia. Mimi ninahela huku naweza lisha ukoo wenu miaka 100 na nikabaki na chenji. Huwezi hama benki kamunahama bar mkuu tumia akili sio ma***ko
Usi Deal nae uyo jamaa, ana stress za maisha mshahara wake 150,000/= hauvuki ndio maana anadhani bank unahamahama tu kama mitandao ya simu.
“portfolio worth 1.5 millions/month | 2020”
Pole sana una pesa na BM hakujui. Angekujua ungetritiwa as corporate customer, officers wangekuja tu ulipo.We fala tulia. Mimi ninahela huku naweza lisha ukoo wenu miaka 100 na nikabaki na chenji. Huwezi hama benki kamunahama bar mkuu tumia akili sio ma***ko
Kwa hali isiyokuwa ya kawaida hawa jamaa wameanza sound zisizo na maana. Mnamo tar 2/01/2020 niliomba kadi mpya baada ya ile ya awali kuisha muda wake.
Baada ya kujaza form na kukamilisha taratibu zote nikaambiwa njoo tar 8 kuchukua kadi mpya.
Na ikumbukwe nilipo na sehemu ya kuchukulia kadi ni kama mwendo wa masaa 6.5 (kwenda-kurudi) na gharama ya shilingi 10,000 kama nauli toka chakula na muda nao poteza.
Kila nikienda naambiwa njoo siku 4 zijazo itakuwa tayari imetengenezwa ila cha ajabu mwendo ni ule ule tu.
Na nilijaribu kuongea na yule muhudumu wenu (mdada) anipe namba hata ya ofisi niwe nauliza incase imefika nije nichukue ila alikataa sasa sijui shida ni yeye au ndo utaratibu.
Haya mnayofanya hata SACCOSS hawafanyi hivo. Kupewa kadi mpya miezi miwili na mnamzungusha mtu unnecessarily hata hamuoni haya. Mnatengeneza faida kubwa ila mjue sisi ndo tunawapa kiburi.
Kama hamuwezi kutoa semeni tu sasa hivi tunahangaika na mambo mengine suala la kadi sio kipaumbele chenu.
Next week naenda tena kazi yangu ni moja tu, kupewa kadi mpya au kutoa balance yangu niweke MPAWA.
Mkuu ukoo wao wapo wangapi na matumizi yao yapoje kwa siku??harafu uwalishe karne moja?
Hongera kwa kujaaliwa ukwasi mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app