Crdb mahenge ifakara ni janga

Crdb mahenge ifakara ni janga

faya

Member
Joined
May 16, 2015
Posts
30
Reaction score
13
Crdb ni janga kubwa sana hasa branch zenu hizo nilizozitaja haiwezekani mfanyakazi wa serikali niombe mkopo tena nimetimiza masharti yenu yote lkn hadi sasa ni miezi saba nikifuatilia mnanipa majibu ya ovyo mara nyie mahenge hamna uwezo wa kukopesha sasa mpo hapo mnafanya nn? Mkaniambia niende IFAKARA niliyoyakuta huko ni aibu kabisa kwa loan officer kujibu kakope bank nyingine sielewi maana ya kuwa na branch ambazo hamuwezi kusaidia wateja wenu.
 
Nani alikwambia CRDB hutoa mikopo?...hata dar crdb haitoi mikopo
 
Utingo hao jamaa wangekuwa wawazi sasa ina maana gani wanakuja maofisini kutafuta wateja na wanatuletea form tujaze za nn?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom