Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,907
- 7,123
Wadau mlipo kwa hii benki tusaidieni. Wikend hii mambo hayaendi.
Naona kama huduma haziendi. Tusifelishane tafadhari.
Naona kama huduma haziendi. Tusifelishane tafadhari.
😀😀 ahse hii ilinikut pia week juz natoa hela simbanking kwa Cardless nakuta natoa mara mbili kumbe mtandaoWeekend iliyopita nilitoa miamala miwili Kwa wakala yote ilikuwa haifiki mwisho nikaona ngoja nitafute ATM nipo njiani naona Sms za pesa kutolewa...kurudi Kwa wakala anasema kwake pesa haijaisha jasho likaanza kunitoka ..kuingia kwenye salio nimetoa laki nane ilikuwa kuvumbi ....nimekuja kupata hela yangu baada ya kutishia Sana mixer kumkaba wakala na kwenda naye benki CRDB hapana Kwa kweli.
NMB mkononi app hawako vizuri pia.Baba Kama ulitegemea mobile bank na umeagiza bia Hapo anza kuongea na meneja aukuruhusu uende KWA wakala
Inarudi lakini usumbufu ndo huwa unakera! Hawa jamaa tuliwasifu zamani ila siku hizi wamekuwa kama NBC Tu mtandao wao unazingua sana.😀😀 ahse hii ilinikut pia week juz natoa hela simbanking kwa Cardless nakuta natoa mara mbili kumbe mtandao
Me najua nimetoa tu mara moja
Kuja kuangalia salio naon kama 200K haipo duuh niliwaza sana ahse😀 .
Ila at the End hela ilirudi