CRDB Kitengo cha Refunds Acheni wizi

Na mm nlifanya hvyo mkuu a/c ilipoanza soma negative nikawaomba bank statement ila nilipopaswa kulipia ile hela nikashindwa i deposit kwenye a/c yangu maana tayar kuna negative balance na ningeiweka ile 15 elfu kwa ajir ya bank statement ingekatwa so tukashindwa kuja na ufumbuz bila kupitia bank statement ila binafsi sikuwah toa zaidi ya nacho kiweka kwa upande wao wanadai kuna hela iliingia kwenye a/c yangu kimakosa sasa msema ukwel bank statement aliposhindikana kupatikana nikatelekeza tu a/c sikuwa na jinsi
 

Seller akisha refund hela inarudi kwenye card master or visa hizi nazo ni agency za CRDB so kinachofanyika CRDB ukishawapatia details za refund nao huwa wana claim hizo hela kutoka master au visa card ndo wakuingizie ww mteja ktk acc yako
 
Dah vichwa hivi kweli tunafugia nywele nikuulize kwenye PayPal acc yako pesa IPO au haipo? Kama ipo hamisha kurudi kwenye acc yako ya benki na kama umehamisha haijafika ilo ndo hoja

Ww hamuna kitu hata paypal inaonekana hujui ni kitu gani hela itakuwepo ktk acc ya paypal nani kaiweka hawa wamekusaidia kufanya secured payment sasa hela inaenda kwao au kwa seller kinachokuchanganya unashindwa kuelewa paypal anazo kazi nyingi sikatai kuwa huwezi kuweka hela ktk acc yako ya PayPal inawezekana kabisa lkn kwa issue ya purchase wao hela inapitia tu in a secured and buyers protection that is all kuna nyuzi nyingi tu za online purchase kasome utaelewa pole pole
 
Dah vichwa hivi kweli tunafugia nywele nikuulize kwenye PayPal acc yako pesa IPO au haipo? Kama ipo hamisha kurudi kwenye acc yako ya benki na kama umehamisha haijafika ilo ndo hoja

Na kitu kingine sio kila seller analipwa kwa paypal kila seller ana njia zake anazo accept mfano ebay wao wanatumia paypal aliexpress wanatumia sana alipay fastjet wanatumia pesapal zote hizi ni agency za secured payment online sio kwamba ukifanya malipo kupitia agencies hizi hela zitakuwa zimeenda kwao hata ukiwa refunded sio kuwa itarudishwa kwao ila itarudishwa kupitia kwao
 
Cheki hiyo link niliyoweka hapo chini. Nimesema nimepata challenge kwa hiyo bado natafuta solution. kuna benki wanayo sintoitaja ipo lakini kuna mtu ambaye tayari ana experience ameniambia kidogo kuna ka usumbufu fulani kwenye transaction za namna hiyo. Kwa hiyo hiyo thread niliweka ni ili kupata maelekezo benki ipi nyingine niende ndo lengo la kuuliza. Kwa hiyo kama unafahamu benki gani niende it will save me time. Kuuliza si ujinga. The way unavyohamaki ni kama vile sipaswii kuuliza humu..
 
What is wrong with you nigga? Hebu soma maelezo yake vizuri. Ameandika kwamba hajibiwi emails kwa hiyo ameomba watu wampe experience yao kama wana face similiar problem? Mbona mnakurupuka sana?
 
Mkuu jibu bi simple, sio lazima uwe na degree kujibu. Mfano ukitoka mzigo sehemu A kwenda sehemu B kisha mtu wa B akasema nimerudisha mzigo. Wewe unadhani amerudisha wapi?
Nilichotaka ni kujua tu utaratibu upo vipi mimi kuipata hiyo hela. Suala la kusema haitaji degree la nini tena? Hivi kuuliza ni kosa mkuu? Mbona wengine wanajibu vizuri tu wewe ndo unajibu kwa nyodo nyodo.. Kuna mkuu kanielewesha freshi tu taratibu nazopaswa kufanya...Au ndo umeingia na ID nyingine?
 
Nimewasiliana nao hadi nimechoka sasa ni mwezi mmoja na siku kadhaaa hamna mtu yeyote aliyenipa hata jibu kwamba nisubiri au kunajambo fulani linafanyika, hiyo email yao kama ungeweza kuona ningekupa email yangu inbox uone kuna email zangu zaidi ya saba nimewaandikia hakuna jibu wala maelezo yeyote zaidi hao wa customer service huwa wananionyesha kwamba wanazifowadi kwa DCO (sitaki mtaja jina) lakini huyo mtu hana msaada. Niliwaambia japo waniambie ni nini kimetokea au kinaendelea hawajibu. Nimetumia ile live chat yao karibuni mara nane nawasiliana nao wanasema tumewaambia watashughulia, what else do you want me to do or to believe?
 
Mpaka utoe kashfa kwanza halafu ndo umueleweshe.I hate this kind of people
 
Wote tunanun
wote tunanunua vitu online ni kweli. Ila je ushawahi kuwa refunded hela? Maana hilo ndo swali la msingi. Na sidhani kama umesoma post yote ya mtoa mada vizuri kabla ya kuandika..
 
Good
 
ID nyingine unamaanisha nini? Hakuna nyodo mkuu ni ujibuwa wangu, napenda kutoa jibu la wazi na kwa mifano.
 
ID nyingine unamaanisha nini? Hakuna nyodo mkuu ni ujibuwa wangu, napenda kutoa jibu la wazi na kwa mifano.
Wewe hujatoa jibu umeuliza swali. Kuna mdau yeye ndo amenipa jibu nililolielewa.. End of discussion...
 
Wengi mnakurupuka kujibu kabla hamjasoma post. Mtu anaulizia suala la refund watu wanatoa majibu ya kuhusu wao kununua. Nani ameuliza hayo maswali? Mnatoa majibu tofauti na hoja. Swali ni je ,mlishawahi kukutana na ishu ya ambapo unatakiwa kurudishiwa refund au kupokea malipo kwenye akaunti yako? Hakuna anayejibu kwa ufasaha wengi nafikiri wanasoma tu title ya thread bila kuelewa anachokiongelea mtoa post na kukurupuka kujibu. Tunajua mmeshawahi kununua. Je imeshawahi tokea mkarudishiwa hela na ikaingia kwenye akaunti bila shida? Hili ni swali naona wengi hawajalielewa mpaka sasa wanaishia kuota majibu ambayo mtoa mada hana shida nayo Mfano yeye ameongelea ishu ya kutopata response halafu anatokea mjinga mwingine anamshauri awaandikiee wakati jamaa kishasema categorically kwamba amewaandikia seven times hawamjibu? Hivi mnashindwa kusoma tu simple maandishi?
 
Na mara nyingi nikirudishiwa hela paypal nao huwa wananitumia email kwamba nimerudishiwa hela na kwakuwa huwa nanunua kwa kutumia CRDB Visa Card hela yangu huwa inarudi kwenye akaunti yangu.
Inachukua muda gani kkwa uzoefu wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…